Freiston
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 302
- 340
Kwahiyo hata sasa bado mnadanganywa au sio.... heheheheh kumbe hujui hata unachosapotiReport ya CAG imechakachuliwa kulinda fedheha za nyinyi wanufaika wa udikiteta wa marehemu magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hata sasa bado mnadanganywa au sio.... heheheheh kumbe hujui hata unachosapotiReport ya CAG imechakachuliwa kulinda fedheha za nyinyi wanufaika wa udikiteta wa marehemu magufuli
Hawa majamaa labda walitaka mkopeshaji awe mzungu....Nadhani ukiangalia balance sheet ya mashirika kumi makubwa ya ndege utakuta wanamadeni makubwa ya muda mrefu sababu manunuzi ya ndege.
Kwa Tanzania report ya CAG imeweka mambo sawa zaidi serikali ndio inamiliki ndege sio ATCL. Shirika lina mkataba wa lease operating licence only, na tena serikali inaonekana wapo serious kulipwa hela yao kwa mujibu wa mkataba.
So hela ya serikali imeanza kurudi kitambo tu kwa manunuzi ya ndege; be it inarudishwa kivingine ATCL kupitia ruzuku.
Hope na ATCL nao wapo serious kibiashara kulipwa hela yao siku raisi au viongozi wengine wa nchi wanapochokua ndege kwa shughuli za serikali.
Communication serikalini napo ni shida.Hawa majamaa labda walitaka mkopeshaji awe mzungu....
Kasema kununua Airline kwa kutumia Taslimu.
Kwasababu inapoingiza fedha deni linalipwa.
Taslimu ziingizwe kwenye Elimu Afya ya Jamii na Miundombinu ya kuunganisha Vijiji kwa Vijiji.
Kweli kabisa hawa Mafisadi waluoumbuliwa na MaCAG ndio wanaotufanya dhiki iendelee huku kitaalePole mhanga wa ufisadi
Hizo shida Ni multipleir effect huwa haziishi, wakati wewe una shida na dawati Kuna mwingine ana shida na usafiri wa ndege awahi kwenye biashara zake atakazolipa kodi ya kununulia dawati la kusomea mwanaoMaeneo mengi watoto bado wanakaa chini madarasa hata hayatoshi, mahospitali na vituo vya afya hamna wafanyakazi wala vitendea kazi, maji ndio kabisaa tunachangia na wanyama. Ni shida sana.
We jitoe akili tu, lakini ukweli unaujua.Na wewe huna tofauti naye na wa mfano wenu wako wengi wachache katika 100 mpo watatu hivyo haisumbui kitu
Kwa sasa sio muda wenu wa kuelewa mtaelewa huko mbeleni
Kuelewa taratibu inaruhusiwa
Hapo ndio ujue jpm anaakili, watu walidhani atcl wamepewa ndege free Kama dela la kitchen partyCommunication serikalini napo ni shida.
Wengi atukuelewa ya kwamba kumbe walichofanya serikali ni kuwatua mzigo tu ATCL wa kwenda sokoni moja kwa moja, jukumu hilo wamechukua wao kununua ndege lakini aina maana ATCL ndege wamepewa sandakalawe.
ATCL wanamkataba na serikali kama wangeingia na mtu mwingine yoyote na tena wanalipa kwa lessor (serikali) wapate faida hasara hayo sio matatizo yao.
Kukusaidia nakupa jembe ukalime, badala ya kukulisha kila siku; ndio serikali ilichofanya kwa ATCL.
Mkuu hao chawa maza anawajua siku nyingi sio wageni kwake, ndio maana Kuna wengine siku ya kuwaapisha anasema hawajui kwa sura kwa maana nyingine anajivua lawamaWe jitoe akili tu, lakini ukweli unaujua.
Wachumia tumbo mlibanwa mbavu sasa mnajipendekeza kwa mama kilasiku kumuimbia mapambio.
Mnasahau mama ana ilani mkononi na ameahidi miradi kuendelea sasa kama mna tiatia huruma mnataka kulegezewa ilimuanze upigaji mtashangaa machoyenu mtakapo endelea kulimia meno.
Muda si mrefu mtaanza kujaza manyuzi yenu ya kumponda na tutawakumbusha moja moja jinsi mnavyo shangilia ujinga wenu sasaivi.
Sawa Team Praise, sisi watanzania tunataka mambo ya uwazi na sio kutufungia kwenye boksi halafu unatuletea masimulizi ya kusifia tu na kufanikiwa wakati uhalisia haupo hivyoWe jitoe akili tu, lakini ukweli unaujua.
Wachumia tumbo mlibanwa mbavu sasa mnajipendekeza kwa mama kilasiku kumuimbia mapambio.
Mnasahau mama ana ilani mkononi na ameahidi miradi kuendelea sasa kama mna tiatia huruma mnataka kulegezewa ilimuanze upigaji mtashangaa machoyenu mtakapo endelea kulimia meno.
Muda si mrefu mtaanza kujaza manyuzi yenu ya kumponda na tutawakumbusha moja moja jinsi mnavyo shangilia ujinga wenu sasaivi.
Wengine wanasema hawaikubali miradi iliyo anzishwa na Magu lakini mama anakwenda Ug kuendelea kuweka mambo sawa sasa miradi inaendelea kama kawaida na juzi tumemuona PM anachanja buga Rufiji hydropower kucheck mambo yanavyokwenda.Mkuu hao chawa maza anawajua siku nyingi sio wageni kwake, ndio maana Kuna wengine siku ya kuwaapisha anasema hawajui kwa sura kwa maana nyingine anajivua lawama
Sawa Team Praise, sisi watanzania tunataka mambo ya uwazi na sio kutufungia kwenye boksi halafu unatuletea masimulizi ya kusifia tu na kufanikiwa wakati uhalisia haupo hivyo
Kwanini mambo ya ATCL yalihamishiwa pale White House ili CAG asipate mandate ya kukagua?
Endeleeni kukumbatia fikra za ndani ya boksi.
Mkuu, wanafiki tu, mbona hawamtetei rugemarilaUnasema tunasifia tu, hebu taja kinacho sifiwa tu na hakionekani.
Sazingine mkuu alikuwa anachukuwa maamuzi mwenyewe sababu tulikuwa tunanuka rushwa na ujanjaujanja wa kupiga kilamahali.
Ndio mana kunavitu alikuwa anasimama man alone na tunaona matokeo mazuri mitaani.
Mkuu asikuambie mtu, wananchi hawataki bla,bla, nyingi za kujifanya mnapiga mahesabu sijui uwazi mara sijui ametumia pesa bila idhini ya bunge blabla blabla, watu sio wajinga wanapima matendo.
Miaka yote tuliyokuwa tunajifanya uchambuzi uchambuzi mbona tulikuwa tunapigwa tu na hakuna cha maana.
Chuma kimepiga kazi miaka mitano tu tumeona mambo ambayo watu hawakutegemea yamefanyika na kilammoja ameona.
Acheni dharau, mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.
Nawengine mnamkubali kimoyomoyo ila humu mnaamua kufyatuka tu kama manati.
Hapo ndio ujue jpm anaakili, watu walidhani atcl wamepewa ndege free Kama dela la kitchen party
Mkuu, wanafiki tu, mbona hawamtetei rugemarila
Watatulia tu watumwa hawa.Mkuu, wanafiki tu, mbona hawamtetei rugemarila
Hilo zee limekaa kaa kama nguruwe silipemdi hata kuliona. Anasali hdi sigida wakati ni mnafiq mkubwa. Alikuwa wapi kulalamika wakati anaemchukia akiwa hai. Analalamika sasa huku akijua anaemlalamikia hataweza kumjibu kitu. Hasa watu tumeshawajua na walidhani watafanikiwa kumbe ndiyo wamejizika wenyewe akiwemo ma Zitto na timu yake ya Mbowe Lema Lissu na yule jambazi Lema. Tuko imara sana kulinda Nchi yetu. Na hao wanaodhani Magufuli kaondoka wanajidanganya. Bado yupo tunaishi nae mioyoni mwetu. Hatutakubali kuturudisha kwenye ufisadi kwa njia yoyote tena.Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?
Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?
Unasema tunasifia tu, hebu taja kinacho sifiwa tu na hakionekani.
Sazingine mkuu alikuwa anachukuwa maamuzi mwenyewe sababu tulikuwa tunanuka rushwa na ujanjaujanja wa kupiga kilamahali.
Ndio mana kunavitu alikuwa anasimama man alone na tunaona matokeo mazuri mitaani.
Mkuu asikuambie mtu, wananchi hawataki bla,bla, nyingi za kujifanya mnapiga mahesabu sijui uwazi mara sijui ametumia pesa bila idhini ya bunge blabla blabla, watu sio wajinga wanapima matendo.
Miaka yote tuliyokuwa tunajifanya uchambuzi uchambuzi mbona tulikuwa tunapigwa tu na hakuna cha maana.
Chuma kimepiga kazi miaka mitano tu tumeona mambo ambayo watu hawakutegemea yamefanyika na kilammoja ameona.
Acheni dharau, mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.
Nawengine mnamkubali kimoyomoyo ila humu mnaamua kufyatuka tu kama manati.
Hata Ethiopia pia ni vichaa, huoni wananchi wao wanavyohangaika?Ethiopian Airlines fleet - Wikipedia
en.wikipedia.org
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.
Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.