Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Eithiopia airline wanaponunua cash wao ni shirika binafsi?

South Afrika Airline wana ndege 8 kama sijakosea ambazo walinunua cash, je hao ni shirika binafsi?
Uelewa wako ni butu sana kutokana na mahaba ya kisiasa: Ethiopian Airlines hata wao wana ndege ambazo wanamiliki kwa kupitia mkataba wa matumizi (Aircraft Lease Agreement). Mwaka 2013 waliingia mkataba wa miaka 12 na Airlease Corporation kwa matumizi ya ndege 2 aina ya Boeing 777-300 ER. Unadhani kwanini hawakununua hizi ndege kwa pesa taslimu ???

South Africa Airlines wana mkataba (Dry Lease-Agreement) wa ndege 40 na mwaka jana walipanga kurudisha ndege 19 katika hizo ili wasaini mkataba mpya tena. Afrika Kusini wametuacha Tanzania mbali sana kiuchumi lakini bado wanaingia mikataba ya matumizi. Unadhani wao ni wajinga kufanya hivyo au hawana pesa ???

Halafu ni jambo la kipuuzi kutaka kufananisha mashirika ambayo yameanza miaka mingi iliyopita(South African Airline mwaka 1936 na Ethiopian Airlines 1946) na mpaka leo hii yapo, dhidi ya shirikina ambalo liko (Dormant) na liko katika hali ya kufufuliwa. Ethiopian Airlines, wao binafsi hawategemei safari za ndege pekee kama vyanzo vya mapato: Lakini hili shirika ni FULLY-AUTONOMOUS likifuata mwelekeo wa masoko na siyo siasa za WAJAMAA.

Haya leta jingine................
 
Hivi alikumbuka kuwaambia kuwa mtu ukikopa gharama zinakuwa juu zaidi ya uñunuzi wa hizo ndege kwa cash? Na pia kwa mfano kipindi chote cha corona ndege zilikuwa haziruki, kama zingekuwa zimekopwa hela ya kulipa hayo madeni ingetoka wapi? Pathetic profools, nilikuwa namwelewa lkn kwa hili naona kavuka mipaka. Aache unafki.
Unatolea mfano wa corona? Kwani walionunua kwa Cash waliingiza chochote ku cover operation na maintenace cost?

Tafuta a stronger reason sio corona

Then leasing inakua costly ila payments are spread out over a long time so inapunguza burden kwenye net working capital/liquidity
 
Unanunuaje cash wakati wafanyakazi wako umewakazia more than 5 yrs hakuna nyongeza, vijana ajira hamna, amesema cash ina matumizi yake kwa issue kama hzo unapiga mkopo, hakuna haja ya kulaza njaa watu alaf unaenda kununua Boeing Kwa keshi unakuja kuliweka ardhini haliendi popote linakula hela ya maintenance, huku vijana mtaani wanakomaa na vibanda umiza, kwa dharau unawaambia wajiajiri....na unasepa chato kutengeneza uwanja wa ndege wa kimataifa ......
Serikali ya Pombe imekopa 1.2 Trillion kutoka World Bank kwa ajili ya ujenzi wa madarasa alafu at the same time serikali ya Pombe imenunua ndege kwa cash sh. 1.5 Trillion..... most of them zipo ground zinanyewa na popo....huku fast jet ipo out of action.....Alaf Mimi msinikumbushe habari za jiwe kabisa aisee...the worst president ever

View attachment 1749154
Mkuu una machunguu, pole SANA!
Jamani aende tu, aende tu,!

Everyday is Saturday...............................😎
 
Uelewa wako ni butu sana kutokana na mahaba ya kisiasa: Ethiopian Airlines hata wao wana ndege ambazo wanamiliki kwa kupitia mkataba wa matumizi (Aircraft Lease Agreement). Mwaka 2013 waliingia mkataba wa miaka 12 na Airlease Corporation kwa matumizi ya ndege 2 aina ya Boeing 777-300 ER. Unadhani kwanini hawakununua hizi ndege kwa pesa taslimu ???

South Africa Airlines wana mkataba (Dry Lease-Agreement) wa ndege 40 na mwaka jana walipanga kurudisha ndege 19 katika hizo ili wasaini mkataba mpya tena. Afrika Kusini wametuacha Tanzania mbali sana kiuchumi lakini bado wanaingia mikataba ya matumizi. Unadhani wao ni wajinga kufanya hivyo au hawana pesa ???

Halafu ni jambo la kipuuzi kutaka kufananisha mashirika ambayo yameanza miaka mingi iliyopita(South African Airline mwaka 1936 na Ethiopian Airlines 1946) na mpaka leo hii yapo, dhidi ya shirikina ambalo liko (Dormant) na liko katika hali ya kufufuliwa. Ethiopian Airlines, wao binafsi hawategemei safari za ndege pekee kama vyanzo vya mapato: Lakini hili shirika ni FULLY-AUTONOMOUS likifuata mwelekeo wa masoko na siyo siasa za WAJAMAA.

Haya leta jingine................
Hujajibu swali langu, wanaonunua cash kama South Afrika Airline ni wajinga?

Usilete hoja ya lease hapa, hakuna aliekataa kua kuna lease/financing arrangements.

Usichanganye mada.

Jibu swali langu, nimekupa mfano hai kua Eithiopia airline wana ndege wamenunua cash, je ni wajinga?

Acha kuruka ruka.

Na kwa taarifa yako nina ufahamu ama extensive knowledge na haya mambo. Sasa tusichanganye mada, hoja ni kwamba kununua ndege kwa cash ni ujinga, ukichaa, je hao ni vichaa?

May be swali linakua gumu kwako, jibu tu simple, yes or no, full stop
 
Hivi kina Messi ,Ronaldo, mywheather nao walinunua ndege zao kwa kukopa au walikuwa vichaa wakalipa cash
 
Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.

Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.

Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?

Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?

Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.

Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.

Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?

Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?

una msuta proffesor hafu we mwenyewe zero kabisa.

umesikia leasing umeitafsiri kama kukopa!!! ( naona better translation ni kukodisha)

ni kweli kabisa mashirika ya ndege (airlines) mengi duniani hayanunui ndege cash na hata ukiangalia inventory zao utakuta ndege wanazomiliki moja kwa moja ni chache nyingi ni leased. Biashara ya ndege ni biashara kichaa kupata faida ni ngumu mno kwahio ukijidai unaingia kichwa kichwa unanunua tu midege cash utakula hasara hadi akili ikukae sawa
 
Unanunuaje cash wakati wafanyakazi wako umewakazia more than 5 yrs hakuna nyongeza, vijana ajira hamna, amesema cash ina matumizi yake kwa issue kama hzo unapiga mkopo, hakuna haja ya kulaza njaa watu alaf unaenda kununua Boeing Kwa keshi unakuja kuliweka ardhini haliendi popote linakula hela ya maintenance, huku vijana mtaani wanakomaa na vibanda umiza, kwa dharau unawaambia wajiajiri....na unasepa chato kutengeneza uwanja wa ndege wa kimataifa ......
Serikali ya Pombe imekopa 1.2 Trillion kutoka World Bank kwa ajili ya ujenzi wa madarasa alafu at the same time serikali ya Pombe imenunua ndege kwa cash sh. 1.5 Trillion..... most of them zipo ground zinanyewa na popo....huku fast jet ipo out of action.....Alaf Mimi msinikumbushe habari za jiwe kabisa aisee...the worst president ever

View attachment 1749154
Inauma sana sana
 
malcom wewe ndio kichaa wa kuokota makopo: hujui nchi zinazomiliki ndege serikali yenyewe ndio inayomiliki sio makampuni: 1: dubai ndege zinamilikiwa na serikali 2 : alitihad air line abudhabi uae inamilikiwa na serikali 3: saudi arabian air line inamilikiwa na serikali nahisi china air line pia serikali
Sawa mimi ni kichaa wa kutupwa na kuokota makopo, lakini nimefahamu kitu rahisi ambacho wewe hukifahamu. Mosi, hizo nchi ulizozitaja kama Uchina, shirika lake la Air-China halimilikiwi kwa asilimia 100% na serikali ya Kikomunisti, lakini pia tokea mwaka 2004 linauza hisa zake kimataifa (Hong-Kong and London Stock Exchanges).

Pili, Air-China nao mwaka 2014 waliingia kwenye mkataba wa matumizi ya ndege (Aircraft Leasing Agreement) na shirika la Kimarekani la Air-Lease Corporation ambalo liliwapa ndege za Airbus A321 (ndege nne) na Boeing 737-800 (ndege tisa) kutoka shirika hilo hilo. Sasa unadhani hawa wachina matajiri ni wajinga kutonunua ndege zao zote kwa pesa taslimu ???

Lakini tatu, nadhani hata kupekua historia umeshindwa (You are a lazy intellectual): Unafahamu hata Uchina na Umoja wa Falme za Kiarabu zilianzaje biashara ya usafiri wa anga hadi kufikia hatua ya kununua baadhi ya ndege zao kwa pesa taslimu ??? Kafanya utafiti halafu, ukiwa na majibu NIITE NAMI NITAITIKA.........

Kila la kheri mkuu,...........
 
Hujajibu swali langu, wanaonunua cash kama South Afrika Airline ni wajinga?

Usilete hoja ya lease hapa, hakuna aliekataa kua kuna lease/financing arrangements.

Usichanganye mada.

Jibu swali langu, nimekupa mfano hai kua Eithiopia airline wana ndege wamenunua cash, je ni wajinga?

Acha kuruka ruka.

Na kwa taarifa yako nina ufahamu ama extensive knowledge na haya mambo. Sasa tusichanganye mada, hoja ni kwamba kununua ndege kwa cash ni ujinga, ukichaa, je hao ni vichaa?

May be swali linakua gumu kwako, jibu tu simple, yes or no, full stop
South-African Airline wanamiliki ndege 40 kwa mkopo hadi kufika mwaka 2020, unataka kubisha ???
Kwanini wasimiliki zote kwa pesa taslimu, hebu tuambie wewe Expert wa Aviation.....???
 
Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.

Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.

Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?

Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?

Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.

Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.

Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?

Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?

Tuwekee tafiti hizo tujiridhishe,na tulinganishe na mazingira yetu.
 
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Ni kweli ushauri wa Prof. upo sahihi kabisa kwani hata wafanyabiashara mahiri wa biashara ya mabasi, malori, daladala, bodaboda au bajaj watakuambia ukinunua kwa cash chombo hicho cha biashara ni maamuzi siyo mazuri.

Ulizia wenye uzoefu wa biashara za usafiri
 
Na wewe kaweke mdahalo, ita waandishi umsute, nchi ya kusutana sutana Tanzania
Amshasutwa na kicho kipenger alichoweka huyo mtoa maada, na kama wewe nae unacho kingine weka hapa vinginevyo orof asaad ni tapeli hadi kwa mungu.
Aje hapa nae ajibu manunuzi aliyofanya akiwa CAG na safari alizopanga bia impact kwa nchi na bila kufuata utaratibu.
 
Back
Top Bottom