Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Mkuu stress haina Liviga au profesa au nani......humshika kila mtu,pengine ulimjua nje tu kwa picha aliyotaka uione ila ndani ni mtu binafsi...huwezi iona...

And my question is.....Kwani kajiua??
Sioni uhusiano wa kuuwawa na majuambazi na stress labda kama wewe unaweza kutusaidia hilo.
 
And my question is.....Kwani kajiua??
Sioni uhusiano wa kuuwawa na majuambazi na stress labda kama wewe unaweza kutusaidia hilo.

Duh....hapana siwezi kujua sababu za yeye kujiua....nilichojibu ni kuwa stress hazina profesa,dr,wala kamanda......humkumba kila mtu...uhusiana wa yeye,majambawazi,stress...ingekuwa vizuri uwaulize polisi......
 
R.I.P Livigha nakumbuka unanipigia kitu PS: Local Government in Tanzania Yombo LT 3. daah pole wanafamilia na wana Udsm wote.

Umenikumbusha mbali sana mkuu Bishweko. R.I.P Dr. Livingha
 
alale salama mzee wetu. Alijitahidi kutoa tongotongo za walimwengu. Mwenyezimungu amempenda zaidi yetu.

kuuawa ndio kigezo cha mapenzi zaid ya mungu? if so mbona watu wengi hawataki kuuawa ili wajijue ka wamependwa zaid?
 
Nchi hii wasomi na wazalendo kama huyo na marehem dr mvungi huuliwa wazi wazi serikali iko kimya tu.
Lakin ukimuua mjinga mjinga kama john komba au nape nnauye wataunda tume nyingi sana.

Nchi hii basi tena.
 
Kuna professor mmoja wa chuo kikuu alimpiga mkewe hadi yule mwanamke baadae alikuja kufa simkumbuki jina lake huyo proffessor . Mi nafikiri ukiwa prof. tena mwanaume unapatana na ka laaana fulani haswa unapomuona mkeo, maana wengi maisha ya kifamilia/kindoa yanawashinda saana. Hivi ni maprof. wa hapa Tanzania tu au ni dunia nzima?

Siyo Muhongo huyo?
 
RIP Prof. Livigha

You were a nice lecturer to me.
 
Kwa mauaji haya Mke wake wa mwisho anatakiwa achunguzwe, waende pale bunju A police, wanaweza kumjua kwa kupata habari zake, mara kwa mara warikuwa wakikwaluzana sana , kuna wakati pale Bunju A Shule mkewe huyu marehemu aliwahi kumtolea bastola mhudumu mmoja pale Bar inaitwa Kibira , mhudumu anaitwa Amina akimtuhumu kwa kumchukulia mme, huyu mzee sio wa kawaida kwa vitoto, huenda ni oja na visasi maana ana ka ukorofi kidogo, hata akiingia bar dakika kidogo ni lazima umjue tu kwa mbwembwe zake hasa anapotokea mademu, namkumbuka kama miezi tisa hivi aliwahi kuzuia njia ya kuingilia bar akaweka gari yake Gx110 inayoanza na T.... CCC ya rangi ya blue. Watu walilazimika kutumia mjia nyingine huku wakilalamika kimya kimya kuwa La Profesari kaziba njia ili aonyeshe kifaa kipya(gari) tunasikitika kwa kuwa tumepoteza mtu muhimu katika jamii pamoja kupoteza kipenzi cha Asenal.
 
Back
Top Bottom