Profesa Elifas Bisanda amemaliza kila Kitu kuhusu PT, JWTZ japo sijajua kwanini hajawataja na TISS ambako pia kuna Mapungufu kwa sasa

Sasa kazi za maofisini watafanya akina Nani?
sio Kila mtu anayaweza mafunzo ya ukakamavu.
Mwenye elimu ya juu ataingia Chaka kumkamata muhalifu?.na mshahara utakuwa Bei gani
 
 
Futa ujinga wako TISS iko vyema na naomba usi ifananishe na hayo makolokolo ambayo yako chini ya afande SIRRO.
Acha usnich Arif wewe si ndio ulipandisha Uzi kuhusu vijana wa Diwani kua zero brain Kwa kuleta mbwembwe kwenye mabaa au umejisahau
TISS wafanye vetting process ya kutosha waache kuajiri UVCCM vilaza au wale kina kamlete!
 
Acha usnich Arif wewe si ndio ulipandisha Uzi kuhusu vijana wa Diwani kua zero brain Kwa kuleta mbwembwe kwenye mabaa au umejisahau
TISS wafanye vetting process ya kutosha waache kuajiri UVCCM vilaza au wale kina kamlete!
TISS ina watu smart sana tofouti na watu wanavyowachukulia na kipimo sahihi ni vetting wanayofanyiwa hadi kuwa recruited, kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani pia katika idara ya usalama kuna wachache ambao huaribu sifa ya idara hii iliyojaa watu makini kwa matendo yao mabovu.
 
Huna unachokijua ni Kheri tu Ukanyamaza sawa?
 
Mightier umesoma maoni haya ya huyu member? Hata mimi nakubaliana naye kwa asilimia zote. Nitafafanua: Siyo kwamba nakataa huko polisi au jeshini wasiajiriwe watu wenye uwezo mzuri wa kielimu, la hasha. Wasiwasi uko kwenye namna hizo division one zinavyopatikana. Sasa hivi kuna mashindano makubwa kati ya shule na shule, na mwanafunzi vs mwanafunzi ya kupata pass nzuri kwenye mitihani. Hili limefanya shule na wanafunzi wengi wagundue ''short-cut'' za kila aina ili kupata vyeti vyenye ufaulu mzuri. Hivyo kuajiri kwa kigezo cha ''huyu ana cheti kizuri'' bila kumpima kwa namna nyingine tutakuwa hatujatatua tatizo. Hivyo mimi naungana na mdau Ultimate kuwa cheti kizuri kisiwe njia pekee ya kuamua. Siku hizi kuna njia nyingi mno za ku-test watu ili kujua uwezo wao. Tuchanganye njia mbali mbali.
 
Tatizo unatumia mfano ambao unaweza kuwa wa nadra (exceptional case) kurasimisha kijumla (generalization) unachoona upungufu wa wenye viwango vikubwa vya ufaulu. Si sawa.

Tukirudi kwenye mada, ni kweli kuwa tunahitaji wasomi waliojengeka vyema kitaaluma kwenye majeshi yetu waweze kuja na mikakati ya hali ya juu na uwezo wa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza ufanisi wa kazi.

Pamoja na uwezo wa kutumia nguvu, wawe pia na uelewa mzuri wa sera, sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza kazi zao. Wafanye kazi zao kwa weledi na kuweza kuzitetea kitaalamu kwenye mahakama na tume mbalimbali zinazohusika. Hizi porojo za β€œviashiria”, β€œintelijensia”, n.k. zisiwepo.

Bado tutabakia na tatizo la siasa kuleta uswahili majeshini. Lakini litapungua.
 
Kazi zao ni Kama za laana tu ata akichukuliwa aliyesoma Sana na akili Sana, Kama amelaaniwa amelaaniwa tu.

Hebu jiulize yule alie mtolea Nape mguu wa kuku hadharan, hapo ni suala la akili au ufaham wake kulaniwa tu!
 

prof asiyejua hata mzizi wa matatizo ya nchi anayoishi huyo ni hasara kwa kada nzima na taifa kwa ujumla.

hii nchi kwa sasa mwenye akili ni yule aliyefaulu mtihani,fainali ni field kitaa,ndio kuna mtihani kweli kweli.
 

Kwanini kuishia majeshini tu? Vipi marais na Mawaziri wakuu?

Kwa mtizamo huu kuna uwezekano mkubwa kuwa labda hata SSH, jiwe, chikwette hawakutufaa kuwa marais.

Au Sumaye, Lowassa, Pinda, hata Majaliwa hawatufai kama ma Waziri wakuu.
 
JF kuna zaidi ya vinyonga. [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…