TANZIA Profesa Gaudence Mpangala afariki dunia baada ya kuugua ghafla

Hii kitu inamenya taratibu kuna siku utajikuta unakwenda stand ya mabasi...au hosp hakuna watu.
 
Huyu ni professor bora kuwahi kutokea. Ni mchambuzi mahili wa masuala ya siasa, maendeleo, uchumi, uongozi na utawala. Ni mkosoaji mkubwa wa sera za JIWE na sirikali yake. Kwa ujumla alihesabika kuwa ni mpinzani na muumini wa Chadema na upinzani kwa ujumla. Aliamini katikaUhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
 
Ukiona hawataji chanzo cha kifo, basi jiongeza kujua ugonjwa husika.

Tuchukue tahadhari.
 
RIP Professor na mchambuzi makini.
 
Atakua ni shabiki wa Simba huyo. a.k.a Mapaka fc.[emoji79]

Rest in peace Profesa! Ulikuwa ni mmoja ya Wachambuzi wa kisiasa wenye weredi mkubwa. Hukuwa mnafiki kama wale wengine. Ulisimamia ukweli daima.
Mimi nilitaka kuandika hivi:
Kama alikuwa 'Jalalani', na akabaki huko miaka yote bila "kuokotwa", huyo ijulikane alipapenda sana "jalalani" na alithamini sana utu wake kuliko tumbo lake.

Inawezekana sana huyu alikuwa ni mzalendo kwa nchi yake kwelikweli.

Tusubiri kusikia wasifu wake na alichosimamia maishani mwake. Watu wa aina hii nchi hii sasa ni wachache sana.
 
Viongozi wetu ni wauaji wakubwa, wao wamepata chanjo ya mchina kimyakimya huku wakidanganya kuwa hakuna covid 19
 

Ni homa ya mapafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…