TANZIA Profesa Gaudence Mpangala afariki dunia baada ya kuugua ghafla

TANZIA Profesa Gaudence Mpangala afariki dunia baada ya kuugua ghafla

RIP Prof. msiba wa gafla na ratiba tayari?
... Mkuu kwa hali iliyopo ni muhimu ratiba zikaandaliwa kabisa watu wakatembea nazo mifukoni na nakala zikabaki home bila kusahau wasia maana ni dakika tu; ulikuwepo paap vuup title mpya ya kudumu unapewa. Hatari sana.
 
Alale salama Prof Mpangala
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Mwalimu wangu wa Development Studies (DS) pale UDSM akinifundisha kuhusu demokrasia.

Akieleza historia ya maisha yake kuwa alianza kuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi kisha Kuwa Mwalimu wa Secondary kisha Mkufunzi Chuo cha Ualimu na baadae Kuwa Muhadhiri wa Chuo Kikuu hadi kufikia Uprofesa.
 
Profesa alikuwa mpenzi na shabiki wa demokrasia na mfumo wa vyama vingi! Alionesha msimamo wake kusupport vyama vya uponzani bila hofu
 
Apumzike Kwa Amani
COVID 19 Tanzania Hakuna
 

Huu ndiyo ule uchuro tunaoukataa kwa nguvu zote:

 
Pana haja ya kumwambia mtu fulani na vibaraka wake kuwa kwa hili big NO!

Hadi wafe wangapi? Hadi afe nani?

Itoshe kusema kwamba this is too much.

Sasa basi!

RIP Profesa Mpangala.
Atazuwia vipi mkuu?
 
Back
Top Bottom