TANZIA Profesa Gaudence Mpangala afariki dunia baada ya kuugua ghafla

Dr. Akili......ongezeni bidi basi tupate dawa......
Siyo kila ugonjwa huwa una dawa au kutibika. Aina ya magonjwa ya binadamu idadi yake ni zaidi ya million mbili. Yanayotibika na yenye dawa za uhakika (80% efficacy) hayazidi elfu moja. Ndiyo maana binadamu na viumbe hai wengine lazima waendelee kufa, tupende tusipende, vinginevyo dunia haitatosha.

Magonjwa mengi hayatibiki (hayana dawa au mbinu za kuyaponyesha) lakini kwa bahati nzuri mengine yanapona menyewe kutegemea na mtu mwenyewe na wakati wenyewe (haitabiliki). Virusi vya aina yote havina dawa ya kuviua kwani virusi havina uhai. Sasa utauaje kitu kisichokuwa na uhai? Bahati nzuri magonjwa ya virusi mengi hupona menyewe yaani uwezo wake wa kuua (case fatality) ni ndogo sana au ni sufuri.

Kwa mfano mafua ya virusi vya influenza virus case fatality yake huko Ulaya ni 0.2% yaani kila wagonjwa 1,000 wawili hufariki. Huku Afrika mafua ya influenza virus case fatality yake ni zero. Case fatality ya mafua ya virusi vya corona (cov-2) huko Ulaya ni 2% yaani kila wagonjwa 1,000 ishirini hufariki. Huku Afrika case fatality ya corona ni 0.1% yaani kila wagonjwa 1,000 wa corona mmoja hufariki. Viko virusi vingine case fatality yake ni kubwa. Kwa mfano virusi vya kichaa cha mbwa (rabies) case fatality yake ni 100% yaani wote wanaougua rabies kufa ni lazima, iwe Ulaya au Afrika ni 100%. Virusi vya surua ni 30%, ebola ni 80%, ukimwi ni 80% etc

Hivyo suala la dawa ya kuponya magonjwa ya virusi forget about it. Hata kwa aina nyingi za saratani halipo. Ila mwanadamu hatachoka kufanya majaribio ya madawa au mbinu mbali mbali ya kuepuka au kupunguza vifo vitokanavyo na virusi, saratani na mengineyo.Suala la chanjo kwa virusi vya corona ni gumu kwani virusi hivi kama vilivyo virusi vya ukimwi hubadilika badilika kila wakati genetically na hivyo kuweza kukwepa chanjo zinazogunduliwa. Ni wakwepaji wazuri sana wa immune system. Wamekuwepo miaka million 50 kabla ya uwepo wa binadamu katika dunia hii. Binadamu ataondoka wa kwanza kwenye dunia hii na virusi vitakuwa vya mwisho kuondoka duniani. Last In First Out (LIFO) ndiyo mpango wa Mwenyezi Mungu. Hofu na taharuki ondoa. Mambo lazima yaendelee kama kawa.
 
Asante sana, Kuna kitu nilikuwa mbishi Sana, now napata uelewa. Nilikuwa na mgojwa at the Dead point mpaka madaktari walishangaa, Ila matokeo ya vipimo na maelezo ya Dr. Yanashabihiana na ulivyonijibu. Asante sana bro.
 
Rip Prof........huyu mzee alikuwa anajenga hoja sana kwenye midahalo.

Chama Dola.........pale Nkuruma kuna siku alichangia kitu kizuri sana
 
Kwa Kinachoendelea sasa duniani kuna ulazima wa Kusumbuka Kuulizia sababu Kuu ya hivi Vifo vya Mfululizo hasa kwa Watu wazima wenye Umri wa kuanzia miaka 56 hadi 79 kwa hapa Tanzania?
 
Pumzika kwa amani prof.Mpangala, ulikuwa mkweli na muwazi nitakukumbuka daima.R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…