Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Tunahitaji Spika na sio Academician.
Huyu aende kula jalalani anaongea kama typical academician eti sijui research, anafikiri kina Babu Tale, Msukuma na Kibajaji wana muda na research🐒
images (52).jpeg
 
View attachment 2077399

Kanuni za bunge ndio zimeelezea vizuri anyone can become a speaker apparently.

Ila kuna taratibu zingine zinaharibu rituals ya jinsi nchi zinavyoendeshwa.

CCM hii ya sasa inaenda haribu nchi, yote hayo wana speaker wao wa mfukoni tayari ambae sie mmbunge.

Watu kama hawa wanaanda mazingira ya kiakili tu speaker sio awe mmbunge. Kinachofuata actions za wahuni kumpeleka mtu wao na ndie atakaeshinda.

All the best
Kama CCM haitaki uwe spika hautakuwa spika, kama CCM haitaki uwe Rais, hautakuwa Rais na vile vile kama CCM haitaki uwe Jaji Mkuu hautakuwa Jaji mkuu hivyo basi maamuzi ya CCM yaheshimiwe🍺
 
Asante sana Profesa (9PhD's); tumekupata vizuri sana. Ningekuwa mbunge kura yangu ningekupa wewe. Lakini kwa kuwa CCM imejaa wachumiatumbo wa kutosha, sitegemei kama watakupa kura na kuwatosa wachumiatumo wenzao. Ni ngumu sana.
 
Kwanini wabunge wa JMT waliochukua fomu ni mmoja tu? Tena wa darasa la saba? Au ametumwa kuwakilisha Prof Muhongo? Au ni njia ya kumpitisha Tulia Akson?
 
Tunahitaji Spika na sio Academician.
Sisi wabunge wa CCM hatutaki mtu wa kuja kutusumbua na ma-research yake. Akafanyie kazi huko maofisini, huku kwenye siasa za CCM hakumfai kabisa.

Sisi CCM tunajijua wenyewe. Wasomi wenye madegree mkija huku muwe tayari kuzitupa chooni hizo degree. Mkikomaa nazo hamfiki popote.
 
View attachment 2077399

Kanuni za bunge ndio zimeelezea vizuri anyone can become a speaker apparently.

Ila kuna taratibu zingine zinaharibu rituals ya jinsi nchi zinavyoendeshwa.

CCM hii ya sasa inaenda haribu nchi, yote hayo wana speaker wao wa mfukoni tayari ambae sie mmbunge.

Watu kama hawa wanaanda mazingira ya kiakili tu speaker sio lazima awe mmbunge. Kinachofuata actions za wahuni kumpeleka mtu wao na ndie atakaeshinda.

All the best
Ivi Kabudi ana degree ngapi
 
Back
Top Bottom