Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Huyu aende kula jalalani anaongea kama typical academician eti sijui research, anafikiri kina Babu Tale, Msukuma na Kibajaji wana muda na research🐒Tunahitaji Spika na sio Academician.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu aende kula jalalani anaongea kama typical academician eti sijui research, anafikiri kina Babu Tale, Msukuma na Kibajaji wana muda na research🐒Tunahitaji Spika na sio Academician.
Kama CCM haitaki uwe spika hautakuwa spika, kama CCM haitaki uwe Rais, hautakuwa Rais na vile vile kama CCM haitaki uwe Jaji Mkuu hautakuwa Jaji mkuu hivyo basi maamuzi ya CCM yaheshimiwe🍺View attachment 2077399
Kanuni za bunge ndio zimeelezea vizuri anyone can become a speaker apparently.
Ila kuna taratibu zingine zinaharibu rituals ya jinsi nchi zinavyoendeshwa.
CCM hii ya sasa inaenda haribu nchi, yote hayo wana speaker wao wa mfukoni tayari ambae sie mmbunge.
Watu kama hawa wanaanda mazingira ya kiakili tu speaker sio awe mmbunge. Kinachofuata actions za wahuni kumpeleka mtu wao na ndie atakaeshinda.
All the best
Ingekuwa madegree yote haya ndio kipimo cha pesa, jamaa angekuwa mbali sana yamkini hata hizo posho anazozimendea asingekuwa na hamu nazo.
Mzee yupo vizuri.
Kwa Elimu yote hiyo still akawa Mwana CSijawahi kuwa ccm na sitokuja kuwa ccm ila huyu mwamba namjua ni mbobezi maswala ya kodi (tax guru)ni msomi tofauti na shika
Kwa hayati wala asingepata nafasi ya kupewa hata fomu.Kwa hayati JPM ange make sense ila kwa Wahuni yeye ni mwepesi sana kama nyoya la sufi!
Ndio ukweli wenyewe.Kama CCM haitaki uwe spika hautakuwa spika, kama CCM haitaki uwe Rais, hautakuwa Rais na vile vile kama CCM haitaki uwe Jaji Mkuu hautakuwa Jaji mkuu hivyo basi maamuzi ya CCM yaheshimiwe🍺
Ni msomi tu wa vyeti kama business card yake inavyoonesha lakini sio guru. Wa kiasi tu. I know the guySijawahi kuwa ccm na sitokuja kuwa ccm ila huyu mwamba namjua ni mbobezi maswala ya kodi (tax guru)ni msomi tofauti na shika
Kama kawaida yenuTunahitaji Spika na sio Academician.
Unachuki nae vinafsi we uwezi mfahamu mpoki mafwenga kuliko mimiNi msomi tu wa vyeti kama business card yake inavyoonesha lakini sio guru. Wa kiasi tu. I know the guy
Milioni moja!Form inalipiwa bei gani?
Tuanzie hapo kwanza.
Sisi wabunge wa CCM hatutaki mtu wa kuja kutusumbua na ma-research yake. Akafanyie kazi huko maofisini, huku kwenye siasa za CCM hakumfai kabisa.Tunahitaji Spika na sio Academician.
Ivi Kabudi ana degree ngapiView attachment 2077399
Kanuni za bunge ndio zimeelezea vizuri anyone can become a speaker apparently.
Ila kuna taratibu zingine zinaharibu rituals ya jinsi nchi zinavyoendeshwa.
CCM hii ya sasa inaenda haribu nchi, yote hayo wana speaker wao wa mfukoni tayari ambae sie mmbunge.
Watu kama hawa wanaanda mazingira ya kiakili tu speaker sio lazima awe mmbunge. Kinachofuata actions za wahuni kumpeleka mtu wao na ndie atakaeshinda.
All the best
He is an academic conman
Ni kabila ganiiUnachuki nae vinafsi we uwezi mfahamu mpoki mafwenga kuliko mimi