Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Sifa kubwa ya masikini wa mali na akili ni kumchukia aliyenacho
Ndilo tatizo kubwa la hii ngozi nyeusi huyo mwamba kwa tunaomjua hili bunge ndilo linaloo mfaa atawanyoosha wajingajinga wengi mule inahitaji umshawishi kwa hoja haswa hajuagi kujipendekeza kwa mtu
 
Nimeuliza kama kuna kazi yake ambayo anaweza kujivunia kabisa kwamba ni matunda ya elimu yake? Ameigusa vipi jamii?
Hakuna kitu hapo, unasoma mavitu Wala huongezi maarifa yeyote. Utakuta anaripoti kwa kijana mdogo tu mwenye Bachelor degree ya Finance au taxation
 
Hakuna kitu hapo, unasoma mavitu Wala huongezi maarifa yeyote. Utakuta anaripoti kwa kijana mdogo tu mwenye Bachelor degree ya Finance au taxation

Unajua kwa upande mwingine jamaa anaweza kuwa amekwama japo inaonekana kama yuko sawa. Unasomaje midude yote hiyo tena tofautitofauti?

Amewekeza sana kwenye elimu lakini sifikirii anapata mrejesho sahihi kwenye huo uwekezaji.

Magu alivyokua anawapa shavu watu asingekosa eneo enzi zake, nawezakubaliana na wewe iko namna kwa huyu jamaa.
 
Kwa sasa amelifanyia nini taifa na Elimu yake hio
 
Profesa namkubali sana
 
Kwa sasa amelifanyia nini taifa na Elimu yake hio
Kama alivyosema ndiyo anataka akafanye mageuzi eneo la spika ni sawa na wale wanaouliza chadema mmwlifanyia nini taifa wakati madarakani wapo ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…