TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

Shikamoo kifo
Kifo hakina huruma
Kifo hakijui wewe nani na siku ikifika Lazima ufe...
INNA LILLAH WAINA ILAYH RAJUUN.
 
Brother umemjibu huyo lakini wengi wetu ikiwemo mimi binafsi kuna kitu umezungumza nami.
asante sana.
 
Makini au kichaa?
Huko juu walishamjua that's why hawakumpa nafasi kubwa
Wewe umepewa nafasi gani? Kama hujapewa je umestukiwa kuwa hamnazo?
Huko juu unakosema kuna utaratibu wa kufika kutokana na Elimu yako?
Tukikuuliza hao walioko huko juu wana Elimu ya kuwazidi ambao hawajafika utatujibu?
Waziri wa Nishati ni Dotto Biteko, je huyu ukiachilia Geography ya Secondary aliyosoma kwenye topic ya Energy ana kingine anakijua kwenye hilo eneo?
 
 
 

Attachments

  • MU-OBITUARIES-Dkt-MILANZI.jpg
    300.1 KB · Views: 2
I am like u, nilikua na uwezo wa kusoma mpk vitabu 100 per yr, now hata viwili kazi. Now navaa miwani. Nenda kacheki hosp hayo macho. Hii micomputer inatuua tu
 
I am like u, nilikua na uwezo wa kusoma mpk vitabu 100 per yr, now hata viwili kazi. Now navaa miwani. Nenda kacheki hosp hayo macho. Hii micomputer inatuua tu
Sawa mkuu,
Macho hayana nguvu hasa jicho la kulia naona kabisa limepunguza uwezo wa kuona....

Napo andika hii comment nipo mbele ya computer 💻

This week ntaenda fanya check up ya macho..
 
Yaan Madigirii yote hayo bado alikuwa AFISA MKUU DARAJA LA 1? Hata Umeneja au Ukurugenzi alikuwa hana.. aisee MAISHA haya.
Kusoma sana kazi kidogo.......wasomi wengi kwa nilichoshuhudia enzi hizo nikiwa nimeajiriwa huwa wanasoma sana ili kukwepa kazi ngumu au kazi nyingi.

Kimsingi kwa mtazamo wangu ni watu wavivu wasiopenda kazi. Wao ni watu wa zuri kwa kusoma sana na kufaulu vizuri tu.
 
Someni Sana lakini mjue kuwa taifa halihitaji wasomi Sana..🤣🤣🤣

Mf...Walimu waliosoma degree wanaachwa wakati waliosoma certificate wanaajiliwa KWA wingi
 
Mkuu,
Umeandika vyema Asante sana Kwa maarifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…