Profesa Ibrahim Lipumba: Mawaziri wapewe mkataba wa mwaka mmoja, atakayeshindwa kufanya kazi atumbuliwe

Naunga mkono. Mawaziri wasitumbuliwe kabla hawajamaliza mwaka mmoja kwenye nafasi zao. Unless kuwe na serious issue ya kumtumbua waziri.
 
Isiwe kwa Mawaziri pekee.

Utumishi wa Umma kwa ujumla wake uwe na ukomo kimkataba. (hii ifanywe as if wana renew leseni za mikataba yao).

Ni vema kuirudisha BRN (big result now), ilisaidia sana enzi zile.
 
Wewe uliona wapi mikakati ya maendeleo ikatekelezeka ndani ya mwaka?
 
Ni kweli...

Naunga Mkono..kuna wengine wanakuwa wakulevya tuu na vyeo hawafanyi ya maana
 
Mwaka mzima unasubiri kutumbua mtu ambaye umeona mapema anaharibu, hainahaja kumfunga rais. Tumbuzi ziendane na kasi ya maendeleo
 
Napinga hoja ya propesa wa Buguruni.

Anaujua mwaka ulivyo mrefu kumvumilia mtu

Yaani siku 366
 
Napinga hoja ya propesa wa Buguruni.
Anaujua mwaka ulivyo mrefu kumvumilia mtu
Yaani siku 366
Ajamaanisha avumiliwe mtu.

Anachosema iwe utaratubu ukiisha mwaka mawaiziri wote wapitiwe profile zao na aliye feli atumbuliwe...ila utumbuaji wa kawaida upo palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…