Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
- Thread starter
- #41
Kwa akili yako finyu Prof hajui haya? Hapa hoja ni mkataba wa uwajibikaji.Nimeeleza kuwa kila mwaka wizara inapewa pesa hivyo wizara inafanya kazi kulingana na bajeti iliyotolewa. Unaweza kukuta wizara inahitaji biliini 10 kufanya kazi fulani lakini inapewa bilioni moja au milioni mia 500, hivyo inabidi watekeleze sehemu ndogo tu ya kinachitakiwa kufanywa. Yaani inabidi wizara islash baadhi ya activities ambazo zingewezesha target fulani kukumilika.