Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.

Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.

Usije kusema hatukukuambia .
 
Tangia lini CHADEMA mmekuwa washauri wa CCM? Tangia lini CHADEMA mmekuwa na huruma na wanachama wa CCM mpaka muanze kuwapa ushauri? Tangia lini CHADEMA mkawa watoa heshima na washusha heshima ya mtu? Kwani ninyi ni miungu watu? Hangaikeni na li Sacco's lenu lililopoteza muelekeo.
 
Heshima ya chadema bado ipo Lukasi sema hayo mengine uliyosema ni sawa
 
Wacha akale pesa ww
 
Maswali yako ni mazuri sana , lakini Majibu yake anayo Bashiru Ally na Chongolo
 

Kuna mahal mtoa post kasema yeye ni chadema?
 

Ukimuangalia Prof. Janabi unamuona anaweza kukubali hiyo nafasi? Unadhani haoni Bashiru alivyogeuka kituko ghafla?

Wamuache aendelee kuiweka sawa Muhimbili, ni mtu makini sana wasiende kumharibia CV yake.

 
Makundi mawili yajiandae kisaikolojia;.
1. CCM mnaovaa zaidi ya kiuno 40 (wanaume) na mnaovaa zaidi ya 32 kiuno (wanawake) mjiandae!

2. CCM Wenye vitambi/viliba tumbo mjiandae pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…