CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.
Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.
Usije kusema hatukukuambia .
Akiwa Au asiwe hana impact yoyote kwenye maisha yetu sisi waTanzania. Hata sasa anainfluence gani kwenye maisha yetu sisi? By the way we ndo unaemfaham lakin am sure 98% ya waTanzania hawamjui kabsaa, zaidi ukifika pale Mhimbili ukachajiwa hela (1000) ya kuingiza Gari ndani ndo utaelewa uprofessor wake ni maji taka tu!