ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Aache pesa akusikilizie wewe si ndio? Bila Janabi Afya itayumba au?Chonde chonde kama ni kweli Dr janabi unaingia kwenye siasa tafadhali Baki kwenye afya maana afya inakuhitaji zaidi kuliko siasa . Umekuwa msaada na mchango wako ni mkubwa Sana. Huko siasa kutakuharibia CV yako nzuri uliyojenga ,maana makundi ya ccm ni hatari , labda kama ukistaafu ndio uende kwenye siasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app