Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

Tunakushukuru sana mwanaCCM mwenzetu Erythrocyte uliyepo CHADEMA kwa kazi maalum. Ninauona uzalendo wako na utiifu kwa chama kutaka Chama kiwe makini kwenye teuzi za viongozi.
 
Makundi mawili yajiandae kisaikolojia;.
1. CCM mnaovaa zaidi ya kiuno 40 (wanaume) na mnaovaa zaidi ya 32 kiuno (wanawake) mjiandae!

2. CCM Wenye vitambi/viliba tumbo mjiandae pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.

Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.

Usije kusema hatukukuambia .
mbona ganzi na hofu imewajaa sana eti ndugu semaji
 
Tangia lini CHADEMA mmekuwa washauri wa CCM? Tangia lini CHADEMA mmekuwa na huruma na wanachama wa CCM mpaka muanze kuwapa ushauri? Tangia lini CHADEMA mkawa watoa heshima na washusha heshima ya mtu? Kwani ninyi ni miungu watu? Hangaikeni na li Sacco's lenu lililopoteza muelekeo.
Mbona hapo hujipigii upatu upewe wewe chawa?
 
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.

Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.

Usije kusema hatukukuambia .
We amka usingizini acha kuota ndoto za hovyo
 
Ninyi jengeni chama Chenu kilichopoteza Dira na muelekeo na kubaki kinajiendea kama kipofu tu.
Naona umepanick vibaya, anamsaidia prof Janab asije kuishia kupanda punda, halafu wakati wa uchaguzi akaishia kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Jitahidi kuacha uvutaji wa shisha maana unakufanya kituko.
 
Chonde chonde kama ni kweli Dr janabi unaingia kwenye siasa tafadhali Baki kwenye afya maana afya inakuhitaji zaidi kuliko siasa . Umekuwa msaada na mchango wako ni mkubwa Sana. Huko siasa kutakuharibia CV yako nzuri uliyojenga ,maana makundi ya ccm ni hatari , labda kama ukistaafu ndio uende kwenye siasa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.

Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.

Usije kusema hatukukuambia .
Kweli kabisa, ni sawa na Dk. Slaa alovyokubali kujiunga Chadema, sasa hivi anabishana mashimoni kama ghost akiwa na mwambuzi wa mbeya
 
Back
Top Bottom