Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

Du!...Hii kauli yako ungekuwa karibu ma mashoga yangekununulia bia ...maana hii ndiyo kauli mbiu no 1 ya mashoga wote duniani [emoji2957][emoji2957]
Duuh. Umeamua kujitangaza bila shuruti?
 
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.

Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.

Usije kusema hatukukuambia .
.
 
Dkt Bashiru Ally alikuwa tayari kwenye nafasi nzuri sana tatizo ni kifo cha Magufuli ndicho kilichoharibu muelekeo wake.
 
Makundi mawili yajiandae kisaikolojia;.
1. CCM mnaovaa zaidi ya kiuno 40 (wanaume) na mnaovaa zaidi ya 32 kiuno (wanawake) mjiandae!

2. CCM Wenye vitambi/viliba tumbo mjiandae pia
Kimsingi hata mimi siwezi kumshauri Prophessor Janabi kuingia kwenye siasa sawasawa ziwe za chama tawala au upinzani. Abaki na udaktari wake hadi atakapostaafu akaanzishe hospitali yake binafsi aendelee kuisaidia jamii kupitia taaluma yake.
Wasomi wote walioingia kwenye siasa heshima zao zimeharibika kwasababu siasa za bara la Africa hauwezi kuwa mwanasiasa hadi lazima uwe mtu muongomuongo unaepindisha sheria ili kuendana na maslahi ya wakubwa.
 
Back
Top Bottom