Duuh. Umeamua kujitangaza bila shuruti?Du!...Hii kauli yako ungekuwa karibu ma mashoga yangekununulia bia ...maana hii ndiyo kauli mbiu no 1 ya mashoga wote duniani [emoji2957][emoji2957]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh. Umeamua kujitangaza bila shuruti?Du!...Hii kauli yako ungekuwa karibu ma mashoga yangekununulia bia ...maana hii ndiyo kauli mbiu no 1 ya mashoga wote duniani [emoji2957][emoji2957]
😆😆😆😆Mkuu Jenabi usikubali kuwa Katibu mkuu wa CCM. Hao ni Matapeli, watakuponza.
.
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.
Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.
Usije kusema hatukukuambia .
Dkt Bashiru Ally alikuwa tayari kwenye nafasi nzuri sana tatizo ni kifo cha Magufuli ndicho kilichoharibu muelekeo wake.
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.
Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi kukiokoa kwa sera Majukwaani , Angalia kilichomkuta Dkt Bashiru Ally.
Usije kusema hatukukuambia .
Kimsingi hata mimi siwezi kumshauri Prophessor Janabi kuingia kwenye siasa sawasawa ziwe za chama tawala au upinzani. Abaki na udaktari wake hadi atakapostaafu akaanzishe hospitali yake binafsi aendelee kuisaidia jamii kupitia taaluma yake.Makundi mawili yajiandae kisaikolojia;.
1. CCM mnaovaa zaidi ya kiuno 40 (wanaume) na mnaovaa zaidi ya 32 kiuno (wanawake) mjiandae!
2. CCM Wenye vitambi/viliba tumbo mjiandae pia