Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu


Akiwa Au asiwe hana impact yoyote kwenye maisha yetu sisi waTanzania. Hata sasa anainfluence gani kwenye maisha yetu sisi? By the way we ndo unaemfaham lakin am sure 98% ya waTanzania hawamjui kabsaa, zaidi ukifika pale Mhimbili ukachajiwa hela (1000) ya kuingiza Gari ndani ndo utaelewa uprofessor wake ni maji taka tu!
 
Mbona unapenda sana kuingilia mambo yasiyokuhusu?😎
 
si ndio utafurahi Sasa CCM ikipukutika
 
chadema chama cha kuzikana cha wachaga wao na siasa wapi na wapi
 
Professor janabi huyu aliyekua ana present kwenye hafla ya taasisi ya professor j 😂😂😂 au alikua amelewa

Nafasi ya KM sio kalio
 

Kwani si tulisikia kwamba nchimbi ndio anakuja kutake over ama
 
Mnaanza kuweweseka mapema hivi? 😂😂
 
Mbona wasiwasi tulia jipu lipo sehemu hatari!
 
Kakwepa kuongelea moyo wa kitimoto kuwekewa wanadamu, research iliyofanyika US.
 
Eti kuna damu inamlilia/inamdai?
 

Umesahau kuandika namba yako ya simu leo.

Nakukumbusha tu kwa wema ijapo sijui kwann huwa unawekaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…