Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

Aache pesa akusikilizie wewe si ndio? Bila Janabi Afya itayumba au?
 
Acha zako wewe!

Mi nataka apewe ili apukutishe wale kiherehere wanaotaka urais halafu wapigaji TU na uwezo hawana!!

Tena Kwa wimbi hili la covid simple Dana kisingizio tunacho!!

We mtu anataka urais kisa ana upara au Lisa anavaa Bendera shingoni SI utani huo!!?

Profesa kubali kuwa katibu mi nitakua nakuletea maji ya kunywa kwenye press!!

Lazima ccm ipukutishe wajinga!!
 
Chu
Chukua Chako Mapema.
Ninachokijua mimi taaluma haifanyi kazi Tz.
Hayo maarifa aliyonayo hata yatumia bali matakwa ya wala nchi.
 

Wewe inaonekana uelewa wako ni mdogo sana.

Ni wapi mleta mada ameishauri CCM? Yeye amemshauri huyo profesa ambaye sisi wengine hata hatumjui. Labda wanafahamiana na mleta mada. Ushauri umeelekezwa kwa profesa, siyo kwa CCM.
 
Hii ni sawa na SIMBA kuishauri UTO kikosi cha kupanga wakati wa mechi zinazowakutanisha.
 
Acha ukuda wewe sema tu hafai kama ndio mama anataka kupanga safu ya wapigaji wapwani. Kwanza ujue proff janabi wanajpm kindakindaki wana shaka nae kuhusu jitahada yake kuokoa maisha ya mpendwa wao. Halafu daktari wa moyo na siass za majukwaani ni lazima atatumiwa tu na waovu. Hatujawahi kumsikia au kujua ana mwelekeo gani kisiasa. Kua mwana ccm tu haitoshi. Wala mtoa huu uzi usifikiri wanamapinduzi kina bashiru ali eti kuna wanajutia. Wao wametoa mchango wao kwa ccm na wanaona bado wana wajibu kwenye kurejesha chama cha mapinduzi kwenye mwelekeo wa kimapinduzi.
 
huyu anafaa sana kuwa km wa ccm tatizo la watanzania ni mioyo hao
 
Ila kweli.Ningekuwa nachagua mimi,hiki cheo katibu mkuu kinamfaa mkuu wa mkoa wa sasa wa Dar,simtaji jina.Anajua kuongea na anaweza akambadilisha mtu mawazo yake kwa mistari yake tu na chama vilevile anakijiua,ametokea huko.
 
Hayati, Dr magufuli alipata kusema "Ukiona adui yako amekusifu basi jitafakari mara mbili wapi unakosea" Ila "Ukiona adui yako anaponda basi songa mbele make utakuwa umempiga kwenye mshono"
 
Unafikiri kwanini maprofesa kama hawa wapo na wataendelea kuwa ccm?
 
Kama ccm imekwisha basi chadema imefutika kabisa kiufupi ccm itakuwa afadhali na chadema potelea mbali
 
Usije kusema hatukukuambia .
We sema tu kuwa unamuonea wivu. Tangu lini chadema mkawa washauri wa wanachama wa ccm? Halafu, wewe ni msemaji wa chadema, mambo ya ccm na wanaccm yanakuhusu nini? Pilipili usiyoila wewe inakuwasha nini? Acha wivu bwashee.
 
Umesikia wapi Hilo mkuu acha kubashiri Mambo ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…