Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

Huna hata Degree bado unabishana na Profesa mwenye Heshima iliyotukuka Kitasnia na Kiuweledi halafu bila Aibu unataka Kutulazimisha tukuamini Boya na Pimbi Wewe.

Hebu tupishe tafadhali.
kwani mtu akiwa profesa ndo kila kitu anakuwa sahihi?, anachoongea kitakua ni kweli tu kama atarejea utafiti wa kisayansi ambao umefanyika vinginevyo itakua ni hekaya tu kama zilivyo nyingine.
 
mi namshukuru sana Prof Janabi kuliongelea hili. Hili ni suala nimekuwa nikishana sana na watu Ofisini. Watu wengi wamekariri hili jambo la kunywa maji lita 5 hata uwaambie nini hawakubali. hata nilipowaambia kuwa kuna utafiti ambao mimi nimeusoma unasema mwili wa mnyama yoyote umewekewa viashiria ndo vitakuongoza lakini watu hawakubali.
naomba nawaambie watu walioshikiria hiyo imani kuwa waangalifu, utajisababishia maradhi badala ya kutibu
 
"Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu.

Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara.

Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi wanaokunywa Maji ya Ujazo huo hujikuta wakiwa wameibua Magonjwa mengine Miilini mwao" amesema Profesa Mwenye Akili Nyingi Janabi muda mfupi tu uliopita alipokuwa Mubashara ( Live ) ITV na Radio One katika Kipindi nilichokisahau Jina ila Mtangazaji Miongozaji wake Julieth Robert kutokana na Urembo wake na Sauti yake tamu sijamsahau.

Haya sasa endeleeni tu Kufakamia Mimaji Lita 5 na Kubeba Michupa yenu hovyo barabarani kama Wendawazimu mkijidanganya kuwa mnaimarisha Afya zenu wakati akina GENTAMYCINE tunaokunywa Glasi Tatu ( 3 ) tu za Maji tunaendelea kuwa Werevu (Intelligents) na Afya zetu Kuimarika kila Uchao na Kuonekana bado ni Vijana wakati sasa tunaelekea Saa 12 Jioni.

Kazi Kwenu.
shem GENTAMYCIME unakunywa lita ngapi kwa siku?
 
REport kwa Admin, its a serious issue .
Nilishafanya hivyo ila sijaona walichofanya japo hata hiyo ID yenyewe ilianzishwa Makusudi kipindi kile nimeshinda Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums ili Kuwachanganya Wagawa Tuzo wakosee na wampe Yeye. Tokea nipokee zawadi yangu ( ya Fedha ) hadi sasa hili Parody ID la Mpuuzi GENTAMYCIME liko Kimya japo wapo Wapumbavu baadhi wanahisi ni ID yangu pia wakati wala si Kweli tena kwa 100%
 
Dah, ma admin wa JF wafieni kazi hilo parody GENTAMYCIME
 
Hii ni sahihi kabsa yaan haiwezekan ikawa~calibrated kuwa binadamu anatakiwa kunywa lita 5 za maji kwa siku huu ni upuuz mtupu,kwanza miili tunatofautiana etc.

Nakuhakikishia kunywa maji lita 5 kwa siku na kamwili kako cha ovyoovyo kama hutakuwa kama mtoto njiti.
 
Watanganyika tunawaamini wasanii na waganga wa kienyeji kuliko wataalamu wa afya.
Ray alisema anakunywa maji ndio sababu ya kuwa mweupe watu wakaanza kunywa maji, OMG.
 
Lita moja asubuhi baada yakuamka na litamoja jioni ya maji ni Busara kwa Binadamu mwenye akili timamu!

Mchana hata glass tatu au mbili zinatosha!!

Ukizingatia hayo afya Yako utamshukuru mungu kwa uwezo wake!!
 
Yategemea na kazi ufanyazo, kama wewe ndio muendesha GUTA la ndizi na nyanya toka Soko La Buguruni mpaka MASAKI Double Tree , ni haki yako kunywa maji hayo tajwa.
Mimi sifanyi hio kazi Ila Mwili wangu nisipokunywa maji ya kutosha nakosa pumzi oxygen inakata kwa hio maji yananisaidia kupata oxygen ya kutosha Mwilini na nikinywa najisikia vizuri asubuhi hii nishapakia km Lita 3 nilipoamka tu, usiniige na kazi yangu ni kukaa tu kwenye kiti mda mrefu zaidi ya masaa 13
 
My dear Mpetde, Overdrinking water, a condition known as water intoxication or water poisoning, can have several adverse effects on the body. While it is generally rare and often requires consuming an exceptionally large amount of water within a short period, the consequences can be severe. Here are some of the potential effects of overdrinking water:

  1. Dilution of Electrolytes: Overconsumption of water can lead to the dilution of electrolytes in the body, particularly sodium. Sodium is essential for maintaining the body's fluid balance and cellular function. When sodium levels drop too low, a condition called hyponatremia can occur. Symptoms may include nausea, headache, confusion, muscle cramps, and in severe cases, seizures, coma, and even death.
  2. Swelling and Cellular Dysfunction: Hyponatremia can cause cells in the body to swell due to an imbalance of electrolytes, which can lead to various health problems. The swelling of brain cells can be particularly dangerous, resulting in cerebral edema, which may cause headaches, confusion, seizures, and in extreme cases, brain damage or death.
  3. Kidney Function: Excessive water intake can place a strain on the kidneys, which are responsible for filtering excess water from the bloodstream. In cases of water intoxication, the kidneys may struggle to remove the excess water efficiently.
  4. Gastrointestinal Issues: Overdrinking water can lead to feelings of fullness and may cause discomfort in the abdomen. In some cases, it can result in nausea and vomiting.
  5. Electrolyte Imbalance: Besides sodium, other electrolytes like potassium and magnesium can also become imbalanced, leading to muscle weakness and heart rhythm irregularities.
  6. Fluid Accumulation in the Lungs: In severe cases of water intoxication, excess fluid can accumulate in the lungs, which may lead to breathing difficulties.
It's important to note that the body has mechanisms in place to help regulate water balance and maintain homeostasis. The kidneys play a crucial role in this process by adjusting the amount of water excreted in response to changes in hydration status.

To avoid the potential health risks associated with overdrinking water, it's advisable to listen to your body's thirst signals and consume water in moderation.
Drinking when you are thirsty and paying attention to your individual hydration needs is generally the best approach.
Kama una tatizo hilo la kukosa hewa wakati unakosa maji basi nenda hospitali kwa daktari na acha kuskiaza waganga wa kienyeji/gambosh
 
Okay thank you doctor, but I get thirsty after every few minutes I feel like I need a cup of water and if I don't drink water when I go to urinate my urine becomes like tea or coffee, if I maintain drinking a lot of water my urine becomes clean not dirty one and I don't like dirty urine do you know that dirty urine is a sign of infections?
 
#Seek medical advise mate, its abnormal.
I know the problem, but visit a doctor.
 
Back
Top Bottom