Profesa Janabi apuuzwe!

Profesa Janabi apuuzwe!

Ni Mkurugenzi MNH, Dakitari mwenye maneno mengi ka winga wa K.koo.

Ooh MNH yote inabomolewa na kujengwa ghorofa moja tu kubwa sanaaa, njoo sasa uone vimabango vilivyopambwa kila kona na ujenzi vibanda usiokwisha.
mwee!! Ahsante kwa ufafanuzi

Huku Arusha pia wanaendelea na ujenzi wa Hospital ya jiji,, hauishi…
 
Back
Top Bottom