Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😂😂 ingekuwa hivyo wangestop kutengeneza hao bonite na wenzake,, mitano tena kwa bwana pepsi na fanta orange, pasi na kumsahau bitter lemon & ginger ale 🔥🔥🌹Aaah wewe ndio umekwisha kabisa ukimsikia anaongelea pespi na fanta unaweza kuhisi umeshaoza tumboni mwako..