Profesa Janabi apuuzwe!

Profesa Janabi apuuzwe!

Aaah wewe ndio umekwisha kabisa ukimsikia anaongelea pespi na fanta unaweza kuhisi umeshaoza tumboni mwako..
😂😂 ingekuwa hivyo wangestop kutengeneza hao bonite na wenzake,, mitano tena kwa bwana pepsi na fanta orange, pasi na kumsahau bitter lemon & ginger ale 🔥🔥🌹
 
Huyu jamaa yaan ukimfuatilia utaishia kula mizizi tu!
Mizizi mingine ina sukari wewe!

IMG-20231227-WA0175.jpg
 
Back
Top Bottom