Profesa Janabi apuuzwe!

Profesa Janabi apuuzwe!

Uzuri ni kwamba, Prof Janabi huwa anatoa ushauri. Na wala siyo shurti kuufata ushauri wake kwa muda huo.

Ila ikifika wakati, utalazimika tu. Kwa sasa wala usiwaze, ila muombe Mwenyenzi Mungu akuepushie na magonjwa.

Ukiyapata, utafika hospital na mara moja utalazimika kuyaacha baadhi ya mitindo ya maisha huku ukiwa umeshachelewa zaidi.

Ukiwa unaneemesha mwili wako basi neemesha na akiba kwa ajili ya matibabu hapo baadae.
 
Mbona ameanza kuwa Famous kitambo tangu kwa Jiwe akiwa Kiongozi wa JKaya kikwete Cardiac.
Kabla ya kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ..
Shida kubwa kuna Maproffesor ambao wanapenda kuonekana..
Prof Janabi wala si wa kupenda kuonekana. Ila majukumu yake yanamuweka front.

Lakini umaarufu wake si kwa sababu ya uprof wala Ukurugenzi, bali ni kwa sababu ya ushauri usioyumba. Wabongo hawapendi uwaambie waache wanachokipenda.
 
Kwani wewe unapenda kuambiwa uache unachokipenda??
 
Prof Janabi wala si wa kupenda kuonekana. Ila majukumu yake yanamuweka front.

Lakini umaarufu wake si kwa sababu ya uprof wala Ukurugenzi, bali ni kwa sababu ya ushauri usioyumba. Wabongo hawapendi uwaambie waache wanachokipenda.
Kuna mtu huko nyuma amesema alimuona harusini, na haishi kama ushauri wake wa public ulivyo.

Hiyo ikoje daktaree?
 
Kuna mtu huko nyuma amesema alimuona harusini, na haishi kama ushauri wake wa public ulivyo.

Hiyo ikoje daktaree?
Una uhakika ama kila unachoambiwa wewe unakubali tu?

Lakini pia, mtu halazimiki kuuishi ushauri wake. Mfano sigara, kila mmoja anajua kabisa ni HATARI. Mpaka kwenye paketi zao wameambatanisha na ONYO. Lakini watu bado wanavuta.

Hivyo, ushauri wowote wa kitaalam ni VALID, hata kama anayekupa hausadiki..
 
Opportunist....anataka teuzi tu na akaribia kupata
Uteuzi gani mwingine? Prof Janabi alikuwa Daktari binafsi wa Marais Wawili. Akawa Mkurugenzi wa Jakaya Kikwete Cardiac Center na sasa ni Mkurugenzi wa National Hospital, Muhimbili. Atake uteuzi gani mwingine zaidi? Hakuna!.

Lakini, kama angehitaji uteuzi basi angejikita kuwa chawa wa Rais na serikali pamoja na Chama husika.
 
Back
Top Bottom