Profesa Janabi hakuwa sahihi, si kila mtu anahitaji kufanya uchunguzi wa moyo kabla ya kuanza programu ya mazoezi

Profesa Janabi hakuwa sahihi, si kila mtu anahitaji kufanya uchunguzi wa moyo kabla ya kuanza programu ya mazoezi

Kumsikiliza Janabi ni kujiongezea stress!Ila Watanzania walivyo wapumbavu Janabi akija na kuwaambia kunyweni mkojo wa Mmbwa mtakunywa si kasema Propesa hakosei.Hii Nchi Ina laaana.
 
Huyu jamaa alikuwa wapi miaka yote?
Utafikiri kama sio msomi au anataka kuwa mchungaji
 
Tatizo la watanzania ni kubishia Watu wenye taaluma zao.
Mwenzako ni Daktari, tena Profesa, anazungumzia jambo kulingana na taaluma yake.
Sasa wewe unatoa maoni yako kwenye taaluma za Watu.

1. Kufanya kazi pekee yake ni mazoezi
2. Kula lishe bora inatosha hata usipofanya mazoezi.
Kutenga mda wa mazoezi kunakuweka vizuri mpka kiakili , kazi ni kazi mazoezi ni mazoezi .

Kila binadamu anafanya kazi ila sio kila binadamu anafanya mazoezi .

Lishe bora na mazoezi ni bora zaidi.
 
Wacheni ushamba, wachezaji wangapi ulaya wamefia uwanjani na Kuna vipimo vya afya kibao na wataalam waliobobea kuliko janabi. Kuna baadhi ya changamoto za kiafya zipo nje ya uwezo wa kitaaluma.
 
Back
Top Bottom