Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Hali ya ex MP imekuwa shwari kama bahari ya hindi! Alipatiwa matibabu kwa siku 127 na sasa yupo Gado. Waliokuwa wanamuombea mabaya salamu ziwafikie huko walipo!
Picha: Moja ya pozi la Joseph Haule kipindi akiwa na afya tele===
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa msanii Joseph Haule, maarufu Prof. Jay, jana aliruhusiwa kurejea nyumbani baada ya afya yake kuimarika.
Prof. Jay amekuwa hospitali hapo kwa siku 127 akipatiwa matibabu
Picha: Moja ya pozi la Joseph Haule kipindi akiwa na afya tele