Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

Kindergarten mpaka chuo kikuu , kwa machizi na masister duu...... hapo vipi..? Mmoja ya Kazi nzuri sana ya Prof J..

Shukrani kwa Mungu Baba...azidi kumsimamia afya yake izidi kuimarika.
 
Sifa na utukufu kwa, Mungu alie mponya na madaktari walio mtibu Mungu awabariki.
 
Mungu muweza wa yote ashukuriwe sana, nadhani anapaswa kukutana na mwenzake Chameleon wa Uganda watoe kibao cha pamoja tena safari hii wakiumshukuru Mungu kwa kuwaponya wote wawili katika tundu ya sindano.
 
Prof. Jay kasema alilazwa Muhimbili zaidi ya mwaka, siku 127 alilazwa ICU.

Namtakia afya njema.
 
Back
Top Bottom