Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

Figo
Anaumwa nn huyu profesa? Usikute anahangaika hospitali kumbe mm najua dawa za mitishamba.

Ndiyo maana nataka wamasai wa Ngorongoro wahame ili miti dawa isitawi vizuri huko.
 
Anaumwa nn huyu profesa? Usikute anahangaika hospitali kumbe mm najua dawa za mitishamba.

Ndiyo maana nataka wamasai wa Ngorongoro wahame ili miti dawa isitawi vizuri huko.
ngoja yeye mwenyewe sasa aongee , maana yuko nyumbani , tunahisi ni yale mambo ya kutiliana vitu kwenye maji au chakula
 
Taarifa ya Wizara ya Afya iliyosambazwa kwa vyombo vya habari , inaeleza kwamba Mbunge wa zamani wa Mikumi na kiongozi wa Chadema , Profesa J ameruhusiwa kuondoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuelekea nyumbani kwake baada ya Afya yake kuimarika .

Profesa J amedumu Hospitalini hapo kwa siku 127 .

Tumshukuru Mungu .
MUNGU ni mkubwa sn, waliomzushia kifo aibu yao
 
Sawa, thanks God for him.

Tukiugua serikali ituwekee kipau mbele
 
Tunawshukuru madaktari wetu kupamban kuokoa maish ya ndugu yetu wamitulinga
 
Wizara ya Afya / Hospitali ya Taifa ya Muhimbili haikutakiwa waje na taarifa kwa umma. Huku ni kuvunja miiko ya watoa huduma za afya.

Tumpe faragha apumzike yeye na familia yake ili afya yake izidi kuimarika.

Akirudi katika ulingo wa siasa au shughuli zingine za maisha tutamuona lakini kwa sasa tumuache afaidi maisha ya faragha.
 
Back
Top Bottom