Mungu ni mwema wakati wote.Mungu ni mwema shetani kashindwa
Hizi ni Habari njema sana kwa Mashabiki zake na wananchi wa Mikumi...Hali ya ex MP imekuwa shwari kama bahari ya hindi! Alipatiwa matibabu kwa siku 127 na sasa yupo Gado. Waliokuwa wanamuombea mabaya salamu ziwafikie huko walipo!
Mimi huyu huyu???? 😳Mbna kama imekuuma!
Mungu hajawahi shindwa na shetani hata Kama tungempoteza jua ni kwa mapenzi yake.Mungu ni mwema shetani kashindwa
Mungu ni Mwema. Karibu ktk HARAKATI Kamanda.Taarifa ya Wizara ya Afya iliyosambazwa kwa vyombo vya habari , inaeleza kwamba Mbunge wa zamani wa Mikumi na kiongozi wa Chadema , Profesa J ameruhusiwa kuondoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuelekea nyumbani kwake baada ya Afya yake kuimarika .
Profesa J amedumu Hospitalini hapo kwa siku 127 .
Tumshukuru Mungu .
Asante YesuTaarifa ya Wizara ya Afya iliyosambazwa kwa vyombo vya habari , inaeleza kwamba Mbunge wa zamani wa Mikumi na kiongozi wa Chadema , Profesa J ameruhusiwa kuondoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuelekea nyumbani kwake baada ya Afya yake kuimarika .
Profesa J amedumu Hospitalini hapo kwa siku 127 .
Tumshukuru Mungu .