Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

Figo
Anaumwa nn huyu profesa? Usikute anahangaika hospitali kumbe mm najua dawa za mitishamba.

Ndiyo maana nataka wamasai wa Ngorongoro wahame ili miti dawa isitawi vizuri huko.
 
Anaumwa nn huyu profesa? Usikute anahangaika hospitali kumbe mm najua dawa za mitishamba.

Ndiyo maana nataka wamasai wa Ngorongoro wahame ili miti dawa isitawi vizuri huko.
ngoja yeye mwenyewe sasa aongee , maana yuko nyumbani , tunahisi ni yale mambo ya kutiliana vitu kwenye maji au chakula
 
MUNGU ni mkubwa sn, waliomzushia kifo aibu yao
 
Sawa, thanks God for him.

Tukiugua serikali ituwekee kipau mbele
 
Tunawshukuru madaktari wetu kupamban kuokoa maish ya ndugu yetu wamitulinga
 
Wizara ya Afya / Hospitali ya Taifa ya Muhimbili haikutakiwa waje na taarifa kwa umma. Huku ni kuvunja miiko ya watoa huduma za afya.

Tumpe faragha apumzike yeye na familia yake ili afya yake izidi kuimarika.

Akirudi katika ulingo wa siasa au shughuli zingine za maisha tutamuona lakini kwa sasa tumuache afaidi maisha ya faragha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…