Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

Anaumwa nn huyu profesa? Usikute anahangaika hospitali kumbe mm najua dawa za mitishamba.

Ndiyo maana nataka wamasai wa Ngorongoro wahame ili miti dawa isitawi vizuri huko.

Huko wanakotakiwa wahamie hiyo miti dawa ipo.
 
nn cha mno kwa msanii wetu ? Tunamwombea afya na maisha marefu.
 
Anaumwa nn huyu profesa? Usikute anahangaika hospitali kumbe mm najua dawa za mitishamba.

Ndiyo maana nataka wamasai wa Ngorongoro wahame ili miti dawa isitawi vizuri huko.
Acha ujinga wewe utopolo
 
Habari njema hizi, ama kwa hakika Mungu ni mwema kila wakati.
 
Mwanamuziki mkongwe na mbunge wa zamani wa jimbo la Mikumi Joseph Haule aka profesa Jay karuhusiwa rasmi kutoka hospitali ya rufaa ya muhimbili alikokaa kwa zaidi ya siku 125

Mwamba profesa Jay karuhusiwa kutoka hospitalini baada ya hali yake kutengamaa kwa kiasi kikubwa kulinganisha na wakati analetwa hospitalini hapo
 
Mungu ni mwema ashukuriwe yeye na madaktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…