Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 3,890 Reaction score 8,647 Jun 10, 2022 #61 Amshukru Mungu
Ngwasa Omuyaya JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 2,629 Reaction score 2,733 Jun 10, 2022 #62 Kindergarten mpaka chuo kikuu , kwa machizi na masister duu...... hapo vipi..? Mmoja ya Kazi nzuri sana ya Prof J.. Shukrani kwa Mungu Baba...azidi kumsimamia afya yake izidi kuimarika.
Kindergarten mpaka chuo kikuu , kwa machizi na masister duu...... hapo vipi..? Mmoja ya Kazi nzuri sana ya Prof J.. Shukrani kwa Mungu Baba...azidi kumsimamia afya yake izidi kuimarika.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 10, 2022 #63 Mshana Jr said: Mungu ni mwema shetani kashindwa Click to expand... Wakati wooote
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 10, 2022 #64 Ashukuriwe Jah, karibu uraiani Mlongo.
pumzihaiuzwi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 3,273 Reaction score 3,083 Jun 11, 2022 #65 Sifa na utukufu kwa, Mungu alie mponya na madaktari walio mtibu Mungu awabariki.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jun 11, 2022 #66 Ashukuriwe alie juu!
Chill with big boys Member Joined Jun 10, 2022 Posts 29 Reaction score 22 Jun 11, 2022 #67 MWENYEZI MUNGU ni mkubwa ashukuriwe yeye,
P Peter Agostino Senior Member Joined Sep 23, 2016 Posts 105 Reaction score 229 May 4, 2023 #68 Mungu muweza wa yote ashukuriwe sana, nadhani anapaswa kukutana na mwenzake Chameleon wa Uganda watoe kibao cha pamoja tena safari hii wakiumshukuru Mungu kwa kuwaponya wote wawili katika tundu ya sindano.
Mungu muweza wa yote ashukuriwe sana, nadhani anapaswa kukutana na mwenzake Chameleon wa Uganda watoe kibao cha pamoja tena safari hii wakiumshukuru Mungu kwa kuwaponya wote wawili katika tundu ya sindano.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 May 4, 2023 #69 Prof. Jay kasema alilazwa Muhimbili zaidi ya mwaka, siku 127 alilazwa ICU. Namtakia afya njema.