Kwa mtazamo wake
Profesa huyo wa ivory coast akijibu maswali mbalimbali kwenye redio moja amenena hayo,
Adai wanawake Kutokua na adabu na kuiga umagharibi ni chanzo cha kuharibu taasisi ya ndoa Afrika.
atabiri kufika 2030 ndoa zitakua hazipo na kama zitakuepo ni kwa uchache Sana.
Atoa wito kwa wanawake wa Afrika kurudi kwenye maadili yao
Asema maadili ya Afrika yameharibiwa na utandawazi na wanawake wamekubali kupokea kila kitu,
Alipoulizwa juu ya single mother na wajane amesema hata zamani yalikuepo na kundi Hilo liliolewa kwa heshima na kudumu kwenye ndoa zao,
Amewaasa vijana wa Afrika kutokukata tamaa kujenga familia Bora hasa kuoa watu sahihi kwani moja ya mafanikio kwa mwanaume ni kua na familia Bora ,
Lakini pia amewaasa wanawake kutobeba kila kitu wanachoona kwenye mitandao kama uhalisia maana akitolea mfano ulaya toka karne ya 19 ndoa ilikufa na wakaanza mikataba na kuviziana kwenye Mali huku wakijitengenezea msongo wa mawazo,
Je ushauri wake tuuchukue au iweje kazi kwenu.