Pre GE2025 Profesa Juma Kapuya atangaza kugombea ubunge jimbo la Kaliua 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usisahau na Mbowe kugombea Uwenyekiti wa Chadema 2024 na akipata atakuwa Mwenyekiti kwa miaka 30 mfululizo! Ahahahahaha!!!
 
Mzee tuaachee possess zilepesa zoteee zimeisha mpaka unataka kuaibika tenaaa zamuyavijana bana...
 
Hawa wazee wajinga sana, amesahau ni nini serikalini? kutwa vijana mjiajiri lakini wao wanataka kufia madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…