johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona....
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.
Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Jealous is like a sand in your eyes,it can stop your eyes from seeing clearly,Covidol and Bupiji were all introduced in Tanzania,but as you are full of negativity to your government, you heard not.Mbona hapa tz hajaitambulisha?
Katumwa na mumheshimiwa mungu wake magufuli kutengeneza mahusiano mazuri na mabwana.Huyu professor wa jalalani ziara zake huwa sizielewagi umuhimu wake
Mbona mpango kaitumia na anaendelea vizuri na mazoezi ya kunywa chai na viazi.UPUUZI MTUPU! Dawa ya COVID kutoka Tanzania mbona Mpango hakupewa? Mbona Shariff Hamad hakupewa?
waliipokea na kuipongeza Tanzania
Kama ni kweli, basi hii serikali yote ya Magufuli ni visebengo!
Ni dawa au chanjo, watanzania kwa mbwembwe basi waipeleke WHO na CDC isije ikawa kama ile ya Madagascar.Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.
Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Chadema wanasemaje?Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.