Profesa Kabudi aitambulisha dawa ya COVIDOL nchini Ufaransa, wenyeji wake waikubali na kuipokea

Profesa Kabudi aitambulisha dawa ya COVIDOL nchini Ufaransa, wenyeji wake waikubali na kuipokea

Imewasaidia wagonjwa wangapi kati ya wagonjwa wangapi walioinywa?
Ufanisi wake ni asilimia ngapi?
Je, maudhi yake ni yapi?
Je, inafanyaje kazi?
Je, inakaa kwenye damu kwa muda gani?
Je, inatolewaje mwilini?
Inaisha mwilini baada ya siku ngapi?
Je, hii ni dawa au tiba-lishe?
Haya ni baadhi ya maswali niliyonayo juu ya "dawa" hii.
Ndio shida ilipo wenzao wanaweza elezea jinsi virus anavyo attack mwili, changamoto za immune system kabla ya kuilewa virus na namna vaccine zao zinavyoweza instruct ‘T cells’ kupambana na virus baada ya kumsoma.

Wao dawa zao wanazodai wamezifanyia lanoratory research wanaweza kutuelezea zinafanya kazi vipi biologically kupambana na COVID.

Binafsi sikatai dawa za asili lakini ni upuuzi kusema ni laboratory researched, anyway kazungumza hayo maneno mbele ya audience ambayo wana huo muda wa kumsikiliza.
 
Ni dawa au chanjo, watanzania kwa mbwembwe basi waipeleke WHO na CDC isije ikawa kama ile ya Madagascar.
Chanjo ya China na ile ya Urusi hao WHO na USA FDA walishakataa kuzitambua (approve). Hata hii dawa yetu ya Covido tulishawapelekea wakakataa kuipa approval bila hata kuifanyia utafiti. Sisi tunaendelea na ipo siku wataona ukweli wake. Kabudi kawapa wafaransa, bila shaka wataifanyia kazi na kuwaonesha ulimwengu maajabu ya hiyo Tz Covido. Tuvute subira, watatutambua tu.
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli mkuu

2393187_20200508_170418.jpg
 
Vipi ile BUPIJI je? Hakuiongelea mh!!!??

Anatafuta lawama kwa boss sasa
 
Jealous is like a sand in your eyes,it can stop your eyes from seeing clearly,Covidol and Bupiji were all introduced in Tanzania,but as you are full of negativity to your government, you heard not.

Hebu tupishe huko ... na kingereza chako cha Kimakonde bana weee
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Chupa 1 kwa watanzania wote waishio France?
 
Back
Top Bottom