Profesa Kabudi aitambulisha dawa ya COVIDOL nchini Ufaransa, wenyeji wake waikubali na kuipokea

Chadema wanajidharau sana aiee!

Wanaamini hawawezi kufanya chochote isipokuwa mzungu tu.

Hizi akili ndio maana yule mgombea wao baada ya dili la urais kubuma akaona hawezi kuishi tz maana keshazoea kwa wazungu.
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wandugu tuelimishane,ni you tofauti ya Bupeji ,covidal na nimricaf ,ipi inatibu mini na ni nani mtengenezaji na je tayari zina Hati miliki?
 
Imani yangu ni kuwa wakati mwingine humu tunajibishasha na roboti
 
Wandugu tuelimishane,ni you tofauti ya Bupeji ,covidal na nimricaf ,ipi inatibu mini na ni nani mtengenezaji na je tayari zina Hati miliki?
Nimricaf ni chachandu iliyochangamka.
 
Tumi Bupeji iliyotajwa na mwenye Mamlaka
Wandugu tuelimishane,ni you tofauti ya Bupeji ,covidal na nimricaf ,ipi inatibu mini na ni nani mtengenezaji na je tayari zina Hati miliki?
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo ile chachandu?
 
Jealous is like a sand in your eyes,it can stop your eyes from seeing clearly,Covidol and9 Bupiji were all introduced in Tanzania,but as you are full of negativity to your government, you heard not.
Utambulisho ulifanyika wapi na lini
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hiyo dawa walisahau kumpa kijazi,ccm awamu hii imejaa vichaa wengi ila hamjuani kua ni vichaa
 
Chadema wanajidharau sana aiee!

Wanaamini hawawezi kufanya chochote isipokuwa mzungu tu.

Hizi akili ndio maana yule mgombea wao baada ya dili la urais kubuma akaona hawezi kuishi tz maana keshazoea kwa wazungu.
Kimambuchu wewe
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Imewasaidia wagonjwa wangapi kati ya wagonjwa wangapi walioinywa?
Ufanisi wake ni asilimia ngapi?
Je, maudhi yake ni yapi?
Je, inafanyaje kazi?
Je, inakaa kwenye damu kwa muda gani?
Je, inatolewaje mwilini?
Inaisha mwilini baada ya siku ngapi?
Je, hii ni dawa au tiba-lishe?
Haya ni baadhi ya maswali niliyonayo juu ya "dawa" hii.
 
Back
Top Bottom