Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Kama sio sisi vizazi vya Nyerere unafikiri wewe leo ungekuwa Bongo? Tena jinsi unavyo jipa jipa inaonekana kama wewe ni mtu wa kutoka Bush. Mshamba wa maisha na vitu ambavyo huielewi. Wewe kijana huna akili nzuri. Wewe unafikiri ukijua kushika Smart phone ndiyo unajua kila kitu?Kumbe kikazi cha Nyerere pia kina watu wajingawajinga na wapumba.vu hivi? Mimi nilijua mambo ni magumu kipindi hiki kwa sababu ya shule za Kata. Wacha kumwaibisha Nyerere.
Nyie ni watu wa ajabu sana, yaani mnakuwa malimbukeni wa kila kitu cha wazungu. Mnatumia vyombo vya wazungu kujidhalilisha nyie wenyewe. Mnakuwa viumbe msio na msimamo. Viumbe dhaifu na msio jua maana ya maisha ya kujitegemea. Nyie ni viumbe mlio zoea kuomba omba. Niambie akili yako ambayo mungu amekupa umeifanyia nini mpaka sasa, zaidi ya kukaa na kuzomea viongozi wako?
Huyo Waziri unayemwona mwongo mwenzako ana PHD na ni Professor. Wewe una nini? Kichwa chako kimejaa mambo ya kijiweni.
Mnakaa kuwathamini watu ambao nyinyi hawawathamini. Usifikiri hata kama utapata nafasi ya kwenda ulaya wazungu watakuthamini wewe sokwe wa Oldonyo Lengai. Wazungu wanawatemea mate manyani kama nyie mnao jifanya kujiendeleza kwao. Angalia mwingereza mwenye Covid 19 alivyo mtemea mate huyu sister ambaye alipoteza maisha baadae kwa kuambukizwa na virusi vya Corona kwa makusudi.
Jivunie chako brother. Kama uzunguni sisi ndiyo tumekulia huko, tumesoma huko, tumefanya kazi huko na kutengeneza familia huko. Usijifanye unayajua ya wazungu wakati kumbe ni limbukeni tu wa ya wazungu. Kujivunia ya wazungu wakati uzunguni kwenyewe hujafika unakusikia tu mitandaoni.
Usiwe Falah wa kutupwa na mnuka jasho la Bongo. Unamkandia waziri wakati mlo wakonninmara moja kwa siku. Hata kazi huna wala profession. Niambie una profession gani ya kukufanya wewe umwone waziri ni mwongo. Karamba!
Mimi siwaelewi nani anawadanganya kuwa mkiwazomea viongozi wenu wazungu watawapenda nyinyi.
Mnajivunia Smartphones wakati mnamtajirisha mzungu ambaye anawaendesha kama punda.
Sent using Jamii Forums mobile app