Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

Kumbe kikazi cha Nyerere pia kina watu wajingawajinga na wapumba.vu hivi? Mimi nilijua mambo ni magumu kipindi hiki kwa sababu ya shule za Kata. Wacha kumwaibisha Nyerere.
Kama sio sisi vizazi vya Nyerere unafikiri wewe leo ungekuwa Bongo? Tena jinsi unavyo jipa jipa inaonekana kama wewe ni mtu wa kutoka Bush. Mshamba wa maisha na vitu ambavyo huielewi. Wewe kijana huna akili nzuri. Wewe unafikiri ukijua kushika Smart phone ndiyo unajua kila kitu?

Nyie ni watu wa ajabu sana, yaani mnakuwa malimbukeni wa kila kitu cha wazungu. Mnatumia vyombo vya wazungu kujidhalilisha nyie wenyewe. Mnakuwa viumbe msio na msimamo. Viumbe dhaifu na msio jua maana ya maisha ya kujitegemea. Nyie ni viumbe mlio zoea kuomba omba. Niambie akili yako ambayo mungu amekupa umeifanyia nini mpaka sasa, zaidi ya kukaa na kuzomea viongozi wako?

Huyo Waziri unayemwona mwongo mwenzako ana PHD na ni Professor. Wewe una nini? Kichwa chako kimejaa mambo ya kijiweni.

Mnakaa kuwathamini watu ambao nyinyi hawawathamini. Usifikiri hata kama utapata nafasi ya kwenda ulaya wazungu watakuthamini wewe sokwe wa Oldonyo Lengai. Wazungu wanawatemea mate manyani kama nyie mnao jifanya kujiendeleza kwao. Angalia mwingereza mwenye Covid 19 alivyo mtemea mate huyu sister ambaye alipoteza maisha baadae kwa kuambukizwa na virusi vya Corona kwa makusudi.

Jivunie chako brother. Kama uzunguni sisi ndiyo tumekulia huko, tumesoma huko, tumefanya kazi huko na kutengeneza familia huko. Usijifanye unayajua ya wazungu wakati kumbe ni limbukeni tu wa ya wazungu. Kujivunia ya wazungu wakati uzunguni kwenyewe hujafika unakusikia tu mitandaoni.

Usiwe Falah wa kutupwa na mnuka jasho la Bongo. Unamkandia waziri wakati mlo wakonninmara moja kwa siku. Hata kazi huna wala profession. Niambie una profession gani ya kukufanya wewe umwone waziri ni mwongo. Karamba!

Mimi siwaelewi nani anawadanganya kuwa mkiwazomea viongozi wenu wazungu watawapenda nyinyi.

Mnajivunia Smartphones wakati mnamtajirisha mzungu ambaye anawaendesha kama punda.
IMG-20200515-WA0004.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Rais Mkapa ni Rais Kikwete. Unajua lakini maana ya EAC? EAC ipo lakini sio kama ya wakati ule kabla ya 1977. Shilingi ya Tanzania, Kenya na Uganda ilikuwa na thamani moja. Wafanyakazi wa EAC walikuwa na privilege kubwa sana ya kikazi na maisha katika hizi nchi. Tuliishi vizuri kwa kushirikiana na kuaminiana. Tulikuwa na EA Railway, Habour na Ndege. Tulikuwa kitu kimoja mpaka Moi aliposhika madaraka.

Hii EAC ya sasa inakusudia kupanua na kukuza ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kitamaduni. Hali ya shirikisho inapaswa kuundwa kwa muda mrefu kwa kuunda umoja wa forodha, soko la kawaida na sarafu ya kawaida. Navyo ona mpaka sasa sijaelewa kitu kinacho endelea. Kuto elewana kwingi!!

Taasisi hizo za pamoja ni pamoja na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kwa ajili ya kuangalia mikataba ya Bunge la Afrika Mashariki kama chombo halali cha kidemokrasia.

Mataifa wanachama lazima zibadilishe sheria zao za kitaifa ili kuruhusu utekelezaji kamili wa nyanja zingine za soko la kawaida, kama vile mamlaka ya uhamiaji na forodha. Sijui kama tayari hilo swala limekuwa implemented.

Wakenya wako Sharp na ardhi yetu ambayo bado kwa asilimia kubwa bado iko mikononinmwa serikali. Wakenya kila kitu wamewauzia wazungu ma wahindi. Hao ndiyo wenye say.

Kitu ambacho Rais Kikwete haja tia saini ni makubaliano ya free movement yaani wakenya kwa mfano wanaweza kaja kwetu ma kuwa rights zote za mshamba kama sisi na kadhalika. Hiyo haiko kwenye mada. Wakija wao wataharibu kila kitu ni hatuwataki. Ni wanafiki hao.

Mimi hata mniambie nini, mkenya sita mwamini hata mara moja mpaka kufa. Kama nyie wazazi wenu hawajawaambia walicho tufanyia, mimi sita sahau kwani ndugu zangu walikuwa sehemu ya watu walio kumbwa na janga hilo la kuvunjika kwa EAC na suluba zote walizo zipata.

Uncle wangu alilia kama mtoto mdogo kwa kupoteza kila kitu alicho kuwa nacho na familia yake wakenya walivyo mdamp mpakani na familia yake kinyama.

Hivi sasa nikisikia tu jina Kenya mwili mzima unasisimka. Nawaona wakenya kama wanyama wakali. Sitaki kabisa kabisa kuwa nao karibu. Hata nikiwa nasafiri kwenda Europe na kurudi Tanzania sipitii Airport yao. Niko radhi kwenda Ethiopia kuliko Kenya. Na wala ndege zao sipendi. Nawaona wanafiki tu.

Nina uhakika iko siku mungu atawalipiza kisasi tu. Wata haha sana. Kwa matendo yao mabaya kwa ndugu zetu na unafiki wao. Waendelee tu kujifanya kuwa wao ni wazungu iko siku watayaona ya wazungu.

Kuhusu mwalimu wako sijui kama anaijua EAC kwa undani wake. Ningekushauri jiongeze wewe mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili gazeti lako lote hapa linahusiana nini na mada iliyopo mezani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaona ulichoandika kinahusiana chochote na mada iliyopo hapa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kuoanisha mambo nafikiri kaa kimya au nenda tena shule ukajifunze upya.

Hapa mleta mada amejaribu kuwaaminisha nyie watu msio elewa mambo ya dunia kuwa waziri Kabudi ni mwongo kwa kauli yake aliyo itoa bungeni kuhusu mkutano wa EAC kwamba sisi watanzania hatuhusiki na mkutano huo. Huo ni mkutano wa Nothern Corridor.

Na mleta mada ameleta Twitt ya waziri wa nchi za nje wa Rwanda kuthibitisha kuwa Tanzania iliomba kuto hudhuria mkutano huo.

Na mimi nikachangia mada kwa kusema kwamba uongo wake uko wapi? Kama yeye waziri Kabudi kwa niaba ya watanzania amekataa ku participate kwenye huo mkutano tatizo liko wapi? Na uongo wake ni upi? Au ni kauli tu zimepishana? Wakati lengo ni lilelie?

Zaidi ya hayo nikataka kuwaeleza nyie vijana wa leo mnao penda kudakia dakia vitu bila kujua undani wake au asili yake umuhimu wa EAC kwetu sisi watanzania na hasa sisi vizazi vya Mwalim Nyerere kuwa EAC ya leo sio EAC tunayo ijua sisi vizazi vya Nyerere. EAC yetu ilikufa 1977 baada ya kuona Kenya chini ya uongozi ya Rais Arap Moi kututendea sisi mambo mabaya ambayo hatuta yasahau milele.

Nimeona wengi waliochangia hii mada wamejaribu kudandia vitu ambavyo hawavijui vyanzo vyake. Wao wamechukua kauliu ya Waziri Kabudi wakalinganisha na Twitt ya waziri wa nchi za nje wa Rwanda na kutoa maandishi kuwa waziri Kabudi ni mwongo, wakati sio kweli.

Waziri Kabudi aliposema Northern Corridor alimaanisha nchi za Kenya, Sudan ya Kusini, Uganda na Rwanda katika kanda ya Afrika Mashariki. Sisi na Burundi tuko kwenye Central Corridor, kwa hiyo hajakosea kitu.

Any way mimi nami kwa kupenda kwangu kuandika nikaongezea mambo mengine kuhusu nyie vijana wa leo kuwa akili zenu ziko matakoni. Kwani mnatabia mbaya sana za kupenda kuzomea zomea watu sielewi kwa nini? Hivi hamjui kuwa tabia hii inawafanya nyie baadae mkija shika madaraka kuiuza nchi yenu? Mnapenda sana thamini kushabikia mambo ya watu wengine kuliko yenu wenyewe, kwanini hasa?

Hivi hamjui kwa tabia hiyo mnakuwa wendawazimu? Na ndiyo maana mtu kama mimi humu Jamii Forum nikiandika mambo kwa hisia zangu mnakuja na kauli za kunizomea kuwa naandika magazeti. Sasa hata nikiandika magazeti si mimi? Nyie inawahusu nini?

Kama hamwezi kusoma magazeti yangu acheni kusoma hakuna mtu anaye walazimisha. Kwani duniani kote mko nyie tu, kuna watu watapenda kuyasoma. Kama nyie mnashindwa basi mjifunze pia kutambua kuwa matatizo yanaweza yakawa yako kwenu. Hamna ubongo wa kuweza kuchukua mambo mengi na kuyaoanisha.

Napenda pia mtambue kuwa JF sio Twitter au Instagram. JF hakuna limit ya maandishi ninavyo jua mimi. Hii ni Forum. Mtu anaweza akaandika kwa jinsi hisia zake zinavyo mtuma. Kama nyie hamwezi andika kama mimi basi ni weakness zenu na sio uwezo wangu.

Msipende kuproject mapungufu yenu kwenye uwezo wa mtu mwingine. Hayo ni mapungufu yenu. Mmejidumaza nyie wenyewe kwa kutokuwa na uwezo wa kujifunza mambo mengi au kusoma texts ndefu. Alafu mkiambiwa kuwa uwezo wenu ni mdogo mnajifanya mnajua, kumbe hamna kitu. Nyie mnaakili za kizombie kama hamjui. Mawazo ya WhatsApp yamewalemaza sana vijana! Mnafikiri kila Story utaitoa kwa short messages huo ni ukoma kama hamjui.
SmartSelect_20200516-060405.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui kuoanisha mambo nafikiri kaa kimya au nenda tena shule ukajifunze upya.

Hapa mleta mada amejaribu kuwaaminisha nyie watu msio elewa mambo ya dunia kuwa waziri Kabudi ni mwongo kwa kauli yake aliyo itoa bungeni kuhusu mkutano wa EAC kwamba sisi watanzania hatuhusiki na mkutano huo. Huo ni mkutano wa Nothern Corridor.

Na mleta mada ameleta Twitt ya waziri wa nchi za nje wa Rwanda kuthibitisha kuwa Tanzania iliomba kuto hudhuria mkutano huo.

Na mimi nikachangia mada kwa kusema kwamba uongo wake uko wapi? Kama yeye waziri Kabudi kwa niaba ya watanzania amekataa ku participate kwenye huo mkutano tatizo liko wapi? Na uongo wake ni upi? Au ni kauli tu zimepishana? Wakati lengo ni lilelie?

Zaidi ya hayo nikataka kuwaeleza nyie vijana wa leo mnao penda kudakia dakia vitu bila kujua undani wake au asili yake umuhimu wa EAC kwetu sisi watanzania na hasa sisi vizazi vya Mwalim Nyerere kuwa EAC ya leo sio EAC tunayo ijua sisi vizazi vya Nyerere. EAC yetu ilikufa 1977 baada ya kuona Kenya chini ya uongozi ya Rais Arap Moi kututendea sisi mambo mabaya ambayo hatuta yasahau milele.

Nimeona wengi waliochangia hii mada wamejaribu kudandia vitu ambavyo hawavijui vyanzo vyake. Wao wamechukua kauliu ya Waziri Kabudi wakalinganisha na Twitt ya waziri wa nchi za nje wa Rwanda na kutoa maandishi kuwa waziri Kabudi ni mwongo, wakati sio kweli.

Waziri Kabudi aliposema Northern Corridor alimaanisha nchi za Kenya, Sudan ya Kusini, Uganda na Rwanda katika kanda ya Afrika Mashariki. Sisi na Burundi tuko kwenye Central Corridor, kwa hiyo hajakosea kitu.

Any way mimi nami kwa kupenda kwangu kuandika nikaongezea mambo mengine kuhusu nyie vijana wa leo kuwa akili zenu ziko matakoni. Kwani mnatabia mbaya sana za kupenda kuzomea zomea watu sielewi kwa nini? Hivi hamjui kuwa tabia hii inawafanya nyie baadae mkija shika madaraka kuiuza nchi yenu? Mnapenda sana thamini kushabikia mambo ya watu wengine kuliko yenu wenyewe, kwanini hasa?

Hivi hamjui kwa tabia hiyo mnakuwa wendawazimu? Na ndiyo maana mtu kama mimi humu Jamii Forum nikiandika mambo kwa hisia zangu mnakuja na kauli za kunizomea kuwa naandika magazeti. Sasa hata nikiandika magazeti si mimi? Nyie inawahusu nini?

Kama hamwezi kusoma magazeti yangu acheni kusoma hakuna mtu anaye walazimisha. Kwani duniani kote mko nyie tu, kuna watu watapenda kuyasoma. Kama nyie mnashindwa basi mjifunze pia kutambua kuwa matatizo yanaweza yakawa yako kwenu. Hamna ubongo wa kuweza kuchukua mambo mengi na kuyaoanisha.

Napenda pia mtambue kuwa JF sio Twitter au Instagram. JF hakuna limit ya maandishi ninavyo jua mimi. Hii ni Forum. Mtu anaweza akaandika kwa jinsi hisia zake zinavyo mtuma. Kama nyie hamwezi andika kama mimi basi ni weakness zenu na sio uwezo wangu.

Msipende kuproject mapungufu yenu kwenye uwezo wa mtu mwingine. Hayo ni mapungufu yenu. Mmejidumaza nyie wenyewe kwa kutokuwa na uwezo wa kujifunza mambo mengi au kusoma texts ndefu. Alafu mkiambiwa kuwa uwezo wenu ni mdogo mnajifanya mnajua, kumbe hamna kitu. Nyie mnaakili za kizombie kama hamjui. Mawazo ya WhatsApp yamewalemaza sana vijana! Mnafikiri kila Story utaitoa kwa short messages huo ni ukoma kama hamjui.View attachment 1451437

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo upi ni ukweli kwenye kauli hizi tatu.
1 Kabudi " Tanzania haikualikwa kwenye mkutano"
2 Kabudi " Mkutano haukuwa wa EAC bali ni wa Northern Corridor "

3 Waziri wa Rwanda " Tanzania hawakutaka kushiriki mkutano wa EAC "

Katika kauli hizo ipi ni sahihi na ipi ni uongo ?

Kwahiyo haya magazeti yako ndiyo uelewa wako juu ya jumuiya ya EA ?

[/QUOTE
 
Sio Rais Mkapa ni Rais Kikwete. Unajua lakini maana ya EAC? EAC ipo lakini sio kama ya wakati ule kabla ya 1977. Shilingi ya Tanzania, Kenya na Uganda ilikuwa na thamani moja. Wafanyakazi wa EAC walikuwa na privilege kubwa sana ya kikazi na maisha katika hizi nchi. Tuliishi vizuri kwa kushirikiana na kuaminiana. Tulikuwa na EA Railway, Habour na Ndege. Tulikuwa kitu kimoja mpaka Moi aliposhika madaraka.

Hii EAC ya sasa inakusudia kupanua na kukuza ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kitamaduni. Hali ya shirikisho inapaswa kuundwa kwa muda mrefu kwa kuunda umoja wa forodha, soko la kawaida na sarafu ya kawaida. Navyo ona mpaka sasa sijaelewa kitu kinacho endelea. Kuto elewana kwingi!!

Taasisi hizo za pamoja ni pamoja na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kwa ajili ya kuangalia mikataba ya Bunge la Afrika Mashariki kama chombo halali cha kidemokrasia.

Mataifa wanachama lazima zibadilishe sheria zao za kitaifa ili kuruhusu utekelezaji kamili wa nyanja zingine za soko la kawaida, kama vile mamlaka ya uhamiaji na forodha. Sijui kama tayari hilo swala limekuwa implemented.

Wakenya wako Sharp na ardhi yetu ambayo bado kwa asilimia kubwa bado iko mikononinmwa serikali. Wakenya kila kitu wamewauzia wazungu ma wahindi. Hao ndiyo wenye say.

Kitu ambacho Rais Kikwete haja tia saini ni makubaliano ya free movement yaani wakenya kwa mfano wanaweza kaja kwetu ma kuwa rights zote za mshamba kama sisi na kadhalika. Hiyo haiko kwenye mada. Wakija wao wataharibu kila kitu ni hatuwataki. Ni wanafiki hao.

Mimi hata mniambie nini, mkenya sita mwamini hata mara moja mpaka kufa. Kama nyie wazazi wenu hawajawaambia walicho tufanyia, mimi sita sahau kwani ndugu zangu walikuwa sehemu ya watu walio kumbwa na janga hilo la kuvunjika kwa EAC na suluba zote walizo zipata.

Uncle wangu alilia kama mtoto mdogo kwa kupoteza kila kitu alicho kuwa nacho na familia yake wakenya walivyo mdamp mpakani na familia yake kinyama.

Hivi sasa nikisikia tu jina Kenya mwili mzima unasisimka. Nawaona wakenya kama wanyama wakali. Sitaki kabisa kabisa kuwa nao karibu. Hata nikiwa nasafiri kwenda Europe na kurudi Tanzania sipitii Airport yao. Niko radhi kwenda Ethiopia kuliko Kenya. Na wala ndege zao sipendi. Nawaona wanafiki tu.

Nina uhakika iko siku mungu atawalipiza kisasi tu. Wata haha sana. Kwa matendo yao mabaya kwa ndugu zetu na unafiki wao. Waendelee tu kujifanya kuwa wao ni wazungu iko siku watayaona ya wazungu.

Kuhusu mwalimu wako sijui kama anaijua EAC kwa undani wake. Ningekushauri jiongeze wewe mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaijua EAC wewe au tunasumbuka na mtu ambaye hajui chochote.

Unazungumziaje jumuiya ambayo ilishavunjika katika muktadha wa jumuiya mpya ?

Mwaka 2001 rais alikuwa ni Kikwete ?
 
Kwahiyo upi ni ukweli kwenye kauli hizi tatu.
1 Kabudi " Tanzania haikualikwa kwenye mkutano"
2 Kabudi " Mkutano haukuwa wa EAC bali ni wa Northern Corridor "

3 Waziri wa Rwanda " Tanzania hawakutaka kushiriki mkutano wa EAC "

Katika kauli hizo ipi ni sahihi na ipi ni uongo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu kwa mchango wako. Hizi ndiyo arguments ninazo zipenda. Well done mkuu, well done!

Kauli zote ziko sawa. Hakuna kauli hata moja hapo juu sio kweli.

Waziri Kabudi aliposema kuwa Tanzania haikualikwa kwenye mkutano alimaanisha kuwa hizo nchi za Northern Corridor zinaelewa fika kuwa sisi hatuta shiriki kwenye mkutano huo maana hatuhusiki, kwani mambo yatakayo zungumziwa kwenye huo mkutano yanaeleweka na ambayo sio msimamo wetu na sisi hatuko kwenye Position ya kuafiki. Ni hizo nchi members tu wa huo mkutano wataelewana sio sisi. Kwa hiyo ni sawa tu kama hatujaalikwa kwani hatuta kwenda. Why should we spend our time and our money for something that is not our concern! Does it make any sense? The answer is No! It doesn't!

Hiyo ndiyo tafsiri ya "Tanzania haikualikwa kwenye mkutano".

Kwenye kauli zako hizo mbili ndiyo hapo ninapo kuonyesha kuwa unaakili za kizombie, kwani kwenye mchango wangu nimekuelewesha kirefu nini maana ya EAC na Nothern Corridor anayo maanisha Waziri Kabudi. Hiyo inaonyesha jinsi gani upeo wako wa kuelewa mambo ulivyo. Upeo wako ni kichaka. Kama wa mtoto mdogo. Ungesoma kikamilifu ungeelewa na wala usingekuja tena mjadala huu.

Mmesomea wapi nyie wakamba? Ni elimu ya miembeni hiyo?

Kauli zote mbili zimetolewa na waziri ndani ya siku tatu.

Ipi ni kauli sahihi mkutano ulikuwa wa Nothern Corridor au ulikuwa wa EAC ila hawakualikwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom