Swala muhimu hapa ni kwamba kuna chanjo ambazo hazifai na tayari ziko sokoni. Huwezi kuupuuza ukweli kwakuwa tu umesemwa na usiyempenda.Tatizo unatumia lugha mbili kuzungumzia jambo moja kuhusu idadi ya chanjo zinazodaiwa hazifai, wakati mamilioni ya chanjo ni tofauti na chanjo 1.5 milion.