Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Mahusiano yetu ya Kidiplomasia na nchi nyingine yanazidi kuimarika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi amewasili Jijini Paris Nchini Ufaransa na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean Yves Le Drian

Katika ziara hiyo ya kikazi ya siku 4 Mheshimiwa Waziri Kabudi atafanya mazungumzo na Taasisi na Jumuiya za Wafanyabiashara Wakubwa wa Ufaransa pamoja na kutekeleza majukumu mengine.

Habari Leo
Tumemuona na kavaa barakoa!!!!
 
Picha
 
Attachments

  • 20210219_225722.jpg
    20210219_225722.jpg
    75.4 KB · Views: 1
  • 20210219_225725.jpg
    20210219_225725.jpg
    54 KB · Views: 1
  • 20210219_225733.jpg
    20210219_225733.jpg
    75.1 KB · Views: 1
Mahusiano yetu ya Kidiplomasia na nchi nyingine yanazidi kuimarika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi amewasili Jijini Paris Nchini Ufaransa na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean Yves Le Drian

Katika ziara hiyo ya kikazi ya siku 4 Mheshimiwa Waziri Kabudi atafanya mazungumzo na Taasisi na Jumuiya za Wafanyabiashara Wakubwa wa Ufaransa pamoja na kutekeleza majukumu mengine.

Habari Leo
Hela za kujenga sgr zimeisha
 
Kaenda kujisalimisha kwa mabeberu
 
Kwa vipi ni ziara ya k8historia?
 
Hapo sijaona beberu hata mmoja,

Only partners katika maendeleo.
 
Ahsante sana Prof Kabudi kwa jitihada zako za kujenga mahusiano mazuri kati ya nchi yetu na mataifa makubwa.
unacho kifanya ni kwa faida ya Tanzania yetu na kizazi kijacho.
Kazi kubwa unayo ifanya kwa ajili ya Taifa lako itabaki ktk vitabu vya historia ya Taifa letu.
tunaelewa na tunatambua jitihada unazo zifanya usiku na mchana kwa manufaa yetu na kizazi kijacho.
Ahsante sana
 
February 19, 2021

Nchi tajiri za G7 zasema lazima kila mmoja wetu apate chanjo ya kuzuia covod-19, ndiyo salama ya dunia.

Viongozi hao wa nchi tajiri zenye viwanda vingi zaidi duniani wameonesha kukubaliana ktk mkutano wao unaofanyika kwa njia ya video conferencing kuhusu mkakati wa kulimaliza dudu hili hatari la Covid-19 ili dunia ibaki salama.

Pandemic will be with us until EVERYONE on earth given Covid-19 vaccine, says Merkel after G7 summit

19 Feb, 2021 17:30

Angela Merkel
Angela MerkelReuters / Annegret Hilse/Pool
The coronavirus pandemic can only be considered beaten once everyone in the world has been immunized against Covid-19, Germany's Chancellor Angela Merkel said, after she'd met with the G7 leaders at a virtual summit on Friday.
Speaking to reporters, Merkel said she had stressed in her remarks to the group that the "pandemic is not over until all people in the world have been vaccinated," adding: "Everyone must participate."
"The [coronavirus] pandemic in particular has shown how much we are diverging from one another, worldwide."

On Friday the head of the EU's executive body, Ursula von der Leyen, said that the bloc would put up €100 million ($121 million) to fund the Covid-19 vaccine rollout in Africa.

Pandemic will be with us until EVERYONE on earth given Covid-19 vaccine, says Merkel after G7 summit​

Vip kuhusu chanjo ya Ebola ?
 
Kwa vipi ni ziara ya k8historia?
Profesa tokea jalalani kuwa waziri na kaondoka tokea kwa Mh Mungu akiwa hana barakoa, kwenda kwa beberu Ufaransa kufika huko akavaa barakoa, ndugu lazima tukubali ni ziara ya kihistoria.
Na kaenda kuomba siku ya Kiswahili, iwe sambamba na, siku ya kuzaliwa chama fulani!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mahusiano yetu ya Kidiplomasia na nchi nyingine yanazidi kuimarika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi amewasili Jijini Paris Nchini Ufaransa na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean Yves Le Drian

Katika ziara hiyo ya kikazi ya siku 4 Mheshimiwa Waziri Kabudi atafanya mazungumzo na Taasisi na Jumuiya za Wafanyabiashara Wakubwa wa Ufaransa pamoja na kutekeleza majukumu mengine.

Habari Leo
Kaenda kupata kitu cha chanjo ya Modema ana Astrazanneca.Kudadekiiiiiiiiiii chezea korona weweeee.Tena kaenda kumletea chanjo na mzee baba Namba 1.
 
Mahusiano yetu ya Kidiplomasia na nchi nyingine yanazidi kuimarika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi amewasili Jijini Paris Nchini Ufaransa na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean Yves Le Drian

Katika ziara hiyo ya kikazi ya siku 4 Mheshimiwa Waziri Kabudi atafanya mazungumzo na Taasisi na Jumuiya za Wafanyabiashara Wakubwa wa Ufaransa pamoja na kutekeleza majukumu mengine.

Habari Leo
Zara ya kihistoria, maana yake nini??
 
Back
Top Bottom