Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Tumemuona na kavaa barakoa!!!!
 
Hela za kujenga sgr zimeisha
 
Kaenda kujisalimisha kwa mabeberu
 
Kwa vipi ni ziara ya k8historia?
 
Hapo sijaona beberu hata mmoja,

Only partners katika maendeleo.
 
Ahsante sana Prof Kabudi kwa jitihada zako za kujenga mahusiano mazuri kati ya nchi yetu na mataifa makubwa.
unacho kifanya ni kwa faida ya Tanzania yetu na kizazi kijacho.
Kazi kubwa unayo ifanya kwa ajili ya Taifa lako itabaki ktk vitabu vya historia ya Taifa letu.
tunaelewa na tunatambua jitihada unazo zifanya usiku na mchana kwa manufaa yetu na kizazi kijacho.
Ahsante sana
 
Vip kuhusu chanjo ya Ebola ?
 
Kwa vipi ni ziara ya k8historia?
Profesa tokea jalalani kuwa waziri na kaondoka tokea kwa Mh Mungu akiwa hana barakoa, kwenda kwa beberu Ufaransa kufika huko akavaa barakoa, ndugu lazima tukubali ni ziara ya kihistoria.
Na kaenda kuomba siku ya Kiswahili, iwe sambamba na, siku ya kuzaliwa chama fulani!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kaenda kupata kitu cha chanjo ya Modema ana Astrazanneca.Kudadekiiiiiiiiiii chezea korona weweeee.Tena kaenda kumletea chanjo na mzee baba Namba 1.
 
Zara ya kihistoria, maana yake nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…