Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Na kwanini hii ni historical ? Kama ndivyo basi Awamu huwa hazinfanyi kazi dunia hii ambayo ni kijiji kwa sasa muingiliano / maongezi / kukutana ni vitu muhimu na nina uhakika/ ningependa kuona kwamba hata kama asipokwenda huwa anaongea na watu mataifa mbali mbali kila siku.... sababu anaweza kuwa anakwenda huko na cha kuonyesha ikawa ni photo-shooting tu..., na anaweza asiende na aka-accomplish mambo mengi ( na hii ni through diplomasia) sio kuitana Mabeberu wala Kuleta Dhihaka
 
Haka ka bibi kanazingua, ni chanjo ipi ilishatolewa kwa coverage ya asilimia mia dunia nzima? hivi unaweza kulazimisha kila mtu adungwe chanjo hata kama utashi wake upo kinyume....
 
Kaenda na macho yake yaleyale au kawakewa ya temporary akirudi anarudishiwa yake
 
 
There is much more to that.
 
Masuala ya uwekezaji yametoka wapi, mmepaniki kumuona walahi, uwekezaji? Nani kakwambia kafuata masuala ya uwekezaji, wachawi roho zinawauma kumuona jamaa anatembea.
Roho inamuuma kama vile maguu alivyoumia baada ya Lissu kupona.
 
Nimesoma kuwa waziri kaomba France wawape au kapeleka ombi wasaidiwe Million 700 Euro ili wakamilishe baadhi ya miradi kama Airport ya Mwanza, ma bus ya mwendo kasi na kufanyiwa ukarabati Terminal 2 Dar.

Mimi sina tatizo na hili lakini sio hii serikali juzi tu ilikuwa matusi na kuwatukana hawa mabeberu na zaidi wakasema nchi hii tajiri sana tumeibiwa sana hatuna shida na pesa zao na bla bla bla nyingi, kulikoni tena anatumwa mtu kwenda kuomba. Kwanini tunakuwa waongo mpaka tunafika tunijadanganya wenyewe. Sina shida kuomba mkopo ni kawaida shida yangu yale majigambo kwenye majukwaa na matusi dhidi ya mabeberu kwa jinsi wanavyowaita.

Na uhakika balozi wa France anajuwa kuhusu haya matusi. Je hii miradi ni muhimu sana kwa sasa mpaka mtu atumwe rasmi kwenda kuomba? au hatuna kitu hatuambiwi tu ndio maana chanjo haitakiwi pesa itatoka wapi.
 
Watu wanafanya mambo yamsingi kutetea taifa mijitu mingine nyuma ya keyboard inaandika ushuzi..
 
Watu wanafanya mambo yamsingi kutetea taifa mijitu mingine nyuma ya keyboard inaandika ushuzi..
🤣 muache matusi muwe na adabu kwenye majukwaa unatukana watu kesho unaenda kupiga magoti mkinyimwa?? usitukane wakunga......
 
Watu wanafanya kazi, mnawasingizia wa naugua, wakiendelea na kazi zao, eti wamesemwa sana, wameamua kutoka, wapuuzi sana nyinyi watu
Unajuwa kwanini watu wanasema haya, kwa sababu serikali inaona aibu kusema tunaenda kuomba. Zamani kukiwa na ziara ya kikazi inatangazwa waziri fulani atafanya ziara kwenda sehemu fulani official. siku hizi utasema wanga kimya kimya kumbe yote ni yale matusi yao hasa huyu mwenye macho makubwa kukicha matusi mabeberu sasa atasema nini anakwenda kwa walewale kuomba tusaidieni. wakukopesha hakuna wameisha.
 
Wa Ubelgiji hana taarifa, na huyu aliyefiwa bado yuko kwenye maombolezo. Wangetibua
 
Mabeberu.... mbona anakwenda kwao tena kavaa barakoa ma..ma..ee
 
Na kwa adabu kabisa wamevaa barakoa[emoji23][emoji23][emoji23]! Anaenda kupiga mzinga kwa mhisani wa maendeleo.
Hawa jamaa huwa wananifurahisha Sana wakienda nje uomba msaada kwa unyenyekevu zaidi wakiambiwa kuhusu demokrasia wanatoa macho hii ni nchi huru tusiingiliwe mambo yetu.Nchi huru haitegemei misaada.
 
Na kwa adabu kabisa wamevaa barakoa[emoji23][emoji23][emoji23]! Anaenda kupiga mzinga kwa mhisani wa maendeleo.
Hawa jamaa huwa wananifurahisha Sana wakienda nje uomba msaada kwa unyenyekevu zaidi wakiambiwa kuhusu demokrasia wanatoa macho hii ni nchi huru tusiingiliwe mambo yetu.Nchi huru haitegemei misaada.
 
22 February 2021
Paris, France

PROFESA KABUDI AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA MAFUTA YA UFARANSA YA TOTAL


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akiwa Paris ambapo alikutana na uongozi wa kampuni ya Total juzi kuzungumzia ujenzi wa bomba la mafuta ambao unatarajiwa kuanza Machi 2021
source: mwananchi digital

 
6 September 2019

Magufuli urges Museveni to sacrifice Tullow taxes for Total EP Pipeline

President John Pombe Magufuli has advised President Yoweri Museveni to sacrifice part of the 185m USD tax bill charged by the URA to conclude plans for the construction of the crude oil pipeline and begin the project forthwith in order to create jobs. This appears to be a direct response to the last weeks decommissioning of Total E&P of all activities and tenders on the USD 3.5 million crude oil pipeline, infrastructure very key to both countries oil and gas sector prospects, envisaged to propel economic growth. In his response president Yoweri Museveni says an agreement has been reached with his Tanzanian counterpart on delivering the pipeline
Source : NTVUganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…