Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Kweli, maana katolewa jalalani.Kabudi yupo sahihi
Haijalishi hiyo.Kweli, maana katolewa jalalani..
Huyo msomi wa Family Law, mpuuzi. Mahali ambako huenda angefas zaidi ni kwenye masuala ya jinsia na watoto maana huko ndiko masuala aliyosomea, ya kesi za mirathi na matunzo ya watoto, yaliko.Sasa Kabudi professor wa jalalani angesemaJe ?! Kama si kusifia chakula yake ?!
Sehemu zinazolalamikiwa kwenye katiba hiyo mbona hazizungumzii . Wasomi wetu ni tatizo la nchi hii
Kwa mbaali namuona Mr harakaharaka ametoa jicho.Huyu ni Kabudi kabla hajasaliti nchi akipigania kwa nguvu zote katiba mpya na mzee warioba.Hawa ndiyo CCM wanaojinadi kuwa wana nia ya dhati ya kutuvusha kwenda Kanaani!
View attachment 1838646
Lazima ujipendekeze upate kulaMheshimiwa mungu
View attachment 1838648
This country where clear air flows,with trees of green and skies of blue is irrevesibly screwed up.Huyu ni Kabudi kabla hajasaliti nchi akipigania kwa nguvu zote katiba mpya na mzee warioba.Hawa ndiyo CCM wanaojinadi kuwa wana nia ya dhati ya kutuvusha kwenda Kanaani!
View attachment 1838646