Hiyo uliyoitaja ni mikoa, huwezi kuifananisha na chato, ambayo tumeenza kuisikia wakati magufuli yuko madarakani, na akitoka hatutaisikia tena, maana ndiyo hulka ya viongozi wa AfrikaTamaaa za mtu mmoja kivipi?hii Chato si ipo Bongo hapa hapa!
Kila mtu anauruhusiwa kuishi,
Mbona vitu vikifanyika Mbeya,Arusha,Kilimanjaro,mnataka Bongo nzima ione kawaida,ila vikifanyika kwingine inakuwa zogo,
Kipindi flani enzi za Mkapa na Kikwete,watu walilalamika kwamba wizara ya fedha imejaa wachaga na wapare,Sumaye akawajibu kwamba hao ndio wanaojua mahesabu,
Wachina watanunua mlima Kilimanjaro!nimemaamisha ni yeyee hajapata nafasi ila tayari China washanunua nchi leo wakianza na chato.
Ha ha haaa eti Arusha Moshi ndoto za mchana.Mbona Arusha na Moshi mnapambana muifikie Carfonia?!
Acheni wivu wa kishamba bhana!
Hahahaaaa..... Ulidhani watanzania wako machame pekee?!Hapo kwenye michango yako indiyo napataga wasiwasi sana juu ya IQ yako
Mwanga unapajua!!Itakuja kuwa kama yale majengo ya wilaya ya Mwanga ambayo yalijengwa kipindi Cleopa Msuya akiwa waziri mkuu. Sasa hivi yamegeuka kuwa nyumba za popo
Kaburu botha was right.
Ukabila, ukanda,kuiba pesa,
Hakukosea alishawasoma akili zao zinafafana wote
Nani anapambana?Mbona Arusha na Moshi mnapambana muifikie Carfonia?!
Acheni wivu wa kishamba bhana!
Kuwa na mshipa wa aibu!Mambo yafanyike kwa kipimo na uhitaji wa eneo husika!Hili la kwenda kutupa fedha siliungi mkono!Rais ajaye akitokea huko kijijini Msambara Kasulu kigoma naye akaelekeze miradi huko kijijini?Acheni unafiki,huyu ana tofauti gani na Mobutu Seseko?Tamaaa za mtu mmoja kivipi?hii Chato si ipo Bongo hapa hapa!
Kila mtu anauruhusiwa kuishi,
Mbona vitu vikifanyika Mbeya,Arusha,Kilimanjaro,mnataka Bongo nzima ione kawaida,ila vikifanyika kwingine inakuwa zogo,
Kipindi flani enzi za Mkapa na Kikwete,watu walilalamika kwamba wizara ya fedha imejaa wachaga na wapare,Sumaye akawajibu kwamba hao ndio wanaojua mahesabu,
Huwa napata tabu sana kuwaelewa wanaomfananisha Nyerere na JPM!Baba wa Taifa kama angekuwa na roho ya namna hii basi angeigeuza Butiama kuwa London ndogo!! lakini maskini wa Mungu kidogo alichokuwa anakusanya alikigawa sawa bin sawia kwa watanzania wote bila ubaguzi - Haki bin Haki - apumzike kwa amani huko aliko - Na laiti angelijua basi angetubadilishia katiba kabla hajaondoka madarakani maana katupa mtihani mkubwa mno watanzania wake aliotupenda kama watoto wake - Hii katiba siyo aiseee!!!
Una ushahidi bwashee?Kwahiyo ndio maana miradi mikubwa na ujenzi wa miundombinu inaelekezwa chato?
Mbona Arusha na Moshi mnapambana muifikie Carfonia?!
Acheni wivu wa kishamba bhana!
Mbona Bagamoyo inazidi kukua?!!
Nani mtu wa Arusha anayeweza kuota ndoto ya mwenda wazimu kuwa inaweza kuifikia Calfornia?Mbona Arusha na Moshi mnapambana muifikie Carfonia?!
Acheni wivu wa kishamba bhana!
ha ha ha mara ya mwishom kufika Njombe ni lini.Mkuu tunaizungumzia Chato sio Geita in GeneralNjombe kuna biashara gani ukiondoa biashara za " mwakipande" pale Makambako walikojazana wakinga na baba yao Jah people?
Geita katika ujumla wake itagrow hata kama wewe hupendi.
Unataka kulinganisha Chaugingi na Chato?
Bure kabisa!
Ure welcome!I love u[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]