Baba wa Taifa kama angekuwa na roho ya namna hii basi angeigeuza Butiama kuwa London ndogo!! lakini maskini wa Mungu kidogo alichokuwa anakusanya alikigawa sawa bin sawia kwa watanzania wote bila ubaguzi - Haki bin Haki - apumzike kwa amani huko aliko - Na laiti angelijua basi angetubadilishia katiba kabla hajaondoka madarakani maana katupa mtihani mkubwa mno watanzania wake aliotupenda kama watoto wake - Hii katiba siyo aiseee!!!