Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

Baba wa Taifa kama angekuwa na roho ya namna hii basi angeigeuza Butiama kuwa London ndogo!! lakini maskini wa Mungu kidogo alichokuwa anakusanya alikigawa sawa bin sawia kwa watanzania wote bila ubaguzi - Haki bin Haki - apumzike kwa amani huko aliko - Na laiti angelijua basi angetubadilishia katiba kabla hajaondoka madarakani maana katupa mtihani mkubwa mno watanzania wake aliotupenda kama watoto wake - Hii katiba siyo aiseee!!!
 
Tamaaa za mtu mmoja kivipi?hii Chato si ipo Bongo hapa hapa!
Kila mtu anauruhusiwa kuishi,
Mbona vitu vikifanyika Mbeya,Arusha,Kilimanjaro,mnataka Bongo nzima ione kawaida,ila vikifanyika kwingine inakuwa zogo,
Kipindi flani enzi za Mkapa na Kikwete,watu walilalamika kwamba wizara ya fedha imejaa wachaga na wapare,Sumaye akawajibu kwamba hao ndio wanaojua mahesabu,
Hiyo uliyoitaja ni mikoa, huwezi kuifananisha na chato, ambayo tumeenza kuisikia wakati magufuli yuko madarakani, na akitoka hatutaisikia tena, maana ndiyo hulka ya viongozi wa Afrika
 
Itakuja kuwa kama yale majengo ya wilaya ya Mwanga ambayo yalijengwa kipindi Cleopa Msuya akiwa waziri mkuu. Sasa hivi yamegeuka kuwa nyumba za popo
Mwanga unapajua!!
 
Tamaaa za mtu mmoja kivipi?hii Chato si ipo Bongo hapa hapa!
Kila mtu anauruhusiwa kuishi,
Mbona vitu vikifanyika Mbeya,Arusha,Kilimanjaro,mnataka Bongo nzima ione kawaida,ila vikifanyika kwingine inakuwa zogo,
Kipindi flani enzi za Mkapa na Kikwete,watu walilalamika kwamba wizara ya fedha imejaa wachaga na wapare,Sumaye akawajibu kwamba hao ndio wanaojua mahesabu,
Kuwa na mshipa wa aibu!Mambo yafanyike kwa kipimo na uhitaji wa eneo husika!Hili la kwenda kutupa fedha siliungi mkono!Rais ajaye akitokea huko kijijini Msambara Kasulu kigoma naye akaelekeze miradi huko kijijini?Acheni unafiki,huyu ana tofauti gani na Mobutu Seseko?
 
#$@[emoji48][emoji251][emoji51]
 
Kwahiyo ndio maana miradi mikubwa na ujenzi wa miundombinu inaelekezwa chato?
 
Baba wa Taifa kama angekuwa na roho ya namna hii basi angeigeuza Butiama kuwa London ndogo!! lakini maskini wa Mungu kidogo alichokuwa anakusanya alikigawa sawa bin sawia kwa watanzania wote bila ubaguzi - Haki bin Haki - apumzike kwa amani huko aliko - Na laiti angelijua basi angetubadilishia katiba kabla hajaondoka madarakani maana katupa mtihani mkubwa mno watanzania wake aliotupenda kama watoto wake - Hii katiba siyo aiseee!!!
Huwa napata tabu sana kuwaelewa wanaomfananisha Nyerere na JPM!
Huwa sielewi,eti amebeba maono ya baba wa taifa,maono gani hayo?
 
Kipindi cha Lala salama lazima iwe jiji
 
Njombe kuna biashara gani ukiondoa biashara za " mwakipande" pale Makambako walikojazana wakinga na baba yao Jah people?

Geita katika ujumla wake itagrow hata kama wewe hupendi.

Unataka kulinganisha Chaugingi na Chato?

Bure kabisa!
ha ha ha mara ya mwishom kufika Njombe ni lini.Mkuu tunaizungumzia Chato sio Geita in General
 
Back
Top Bottom