Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

Huenda baadhi ya maprof hula mimea iliyozuiliwa - ni kwa aliyesoma kitabu cha kivuli kinaishi atagundua mengi
 
Tanzania aliyoitaja Kabudi ni ipii..!? Au tamaa za mtu mmoja zimekua za Taifa..!!?

How did he become a professor anyway!!?

Usisahau aliokotwa jalalani, yungali bado ana uchafu wa jalalani ndani ya kichwa chake!!! Kila siku anaota kumuimbia JIWE mapambio.
 
Baada ya miaka 10 tena utarudi Tena kuwa kijiji
 
baada ya BOT kufanya umafia kwa ile benki ya kichina waziri wa china kaja kukomboa pesa ya wachina kwa kizawadi kidogo
 
Inawezekana Tu Mbona Chattel Kuwa Kama Beijing
Mbona JK Aliweza Kigoma Sasa Hivi Ni Kama Dubai
Mwanri Wakati Wake Kaiacha Tabora Kama Toronto



Tungempa Rungwe Angeleta Bahari Dodoma Na Uhakika Wa Ubwabwa. Bahari Ingepita Mikoa Hii Pwani, Morogoro
Manufaa Yangekuwa Makubwa Sana!!
 
Hii ndiyo jf bhana.
Yani mtu amekaa tu kwenye keyboard ameshaona kua nina kitambi ameshaona, sina uhakika wa maisha, ameshajiona yeye ndo mleta mapinduzi yakiuchumi Tanzanian.

Sasa sijui tusemeje, nadhani nawewe utakua professor, maana inaonekana ni maprofesa tu ndo wanaelewa kua Tanzania inatamani chato iwe vile
Hongera mkuu.

Acha mie muwazia tumbo niongeze kitambi
 
Kabudi Historia haitamuonea huruma, anayoyafanya hayafanani na mtu msomi kama yeye. Amekuwa ntu anayetumika TABLE MATES au an ERAND BOY IF THE WORST KIND.
 
Kabudi mpaka ametusahau na sisi wa KILOSA????
 
Nilipata fursa ya kupiga stori na mtu mmoja leo, na haya ndo aliyasema.
"Wafanya biasahara wa chato wapo kwenye wakati mgumu kuliko ilivyowahi kuwa kabla na wengine wanalqzimika kuhama, maana ulinzi wa nyumani kwa raisi umekuwa kero kwao, kuna barabara inapita jirani na nyumbani kwao, imegeuka shubiri kwani watu wanakaguliwa kuliko hata wahamiaji kharama, japo kuwa ni wapita njia tu na hawana lolote zaidi ya bidhaa zao"
 
Ni kawaida ya watawala awamu ya pili kujitengenezea kwao Ili kujiandaa kustaafu
 
😆😆 wana siasa wetu bwanaa walikuwa wqna semaga Singapore miaka ya 1960 ilikuwa kama Tz, ss naona wako specific Chato iwe kama china ...hiki kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…